Ajira za Ualimu zinatoka lini?

Ajira za ualimu waliohitimu 2014 zinatoka lini? Kitaa kigumu kweli hasa wenye bachelor za ualimu sababu hakuna tempo bora hao wa chet na Diploma walioenda kupoteza Muda JKT.

mkuu anzisha pre-form one utakusanya pesa
 
Ajira za ualimu waliohitimu 2014 zinatoka lini? Kitaa kigumu kweli hasa wenye bachelor za ualimu sababu hakuna tempo bora hao wa chet na Diploma walioenda kupoteza Muda JKT.

kama una digrii ya sayansi huna haja ya kuhofu nyie ni hot cake ila kama ni ya arts ndugu yangu njoo tulime nyanya mi nshazoea.
 
Hata vikao vya kupanga bado kufanyika kwakua serikali haina fedha then mwakani kuna mambo makubwa mawili yaani uchaguzi Wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hivyo huu mchakato utachelewa sana

uchaguzi wa serikari za mitaa sio mwakani ni mwaka huu mwezi wa 12 mkuu
 
Ajira za ualimu waliohitimu 2014 zinatoka lini? Kitaa kigumu kweli hasa wenye bachelor za ualimu sababu hakuna tempo bora hao wa chet na Diploma walioenda kupoteza Muda JKT.

Nasikia wataajiri kwa kufuata ufaulu. Kama ni degree ni lazima uwe na at least an upper second class GPA.
 
Nasikia wataajiri kwa kufuata ufaulu. Kama ni degree ni lazima uwe na at least an upper second class GPA.

wacha we hivi hizi habari za kuokota mnazitoleaga wapi duuh maana mnajua kuzusha kuliko hata magazeti ya udaku!!!!!
 
wacha we hivi hizi habari za kuokota mnazitoleaga wapi duuh maana mnajua kuzusha kuliko hata magazeti ya udaku!!!!!

Nimelisikia kutoka kwa mtu wa karibu anayefanya kazi ktk sekretarieti ya ajira. Wamesema hiyo itawahusu walimu wa masomo ya arts ila haitawaathiri walimu wa sayansi. So far hizi ni tetesi ambazo zinaweza kuwa na ukweli au zisiwe kweli. Wanadai walimu wa masomo ya arts wametosha hivyo wataajiri hao wenye vigezo watakavyoviainisha kama umri na ufaulu
 
by the way hii nchi kila mtu ni mfanyakazi wa serekali na anataarifa muhimu kuhusu serekali bt muache hizo kelele kuweni wasomi bana kwani msomi huamini valid information na sio tetesi au udaku!!!!
 
by the way hii nchi kila mtu ni mfanyakazi wa serekali na anataarifa muhimu kuhusu serekali bt muache hizo kelele kuweni wasomi bana kwani msomi huamini valid information na sio tetesi au udaku!!!!

yaaa saivi kila mtu ni mfanyakazi wa serikali ktk secta nyeti au ana ndugu yake sekta nyeti
 
Primary ziko nying mtaani na walimu wanahtajika nendeni muombe kazi

sasa huko primary atalipwa pesa iliyotoka wapi? Labda mwalimu mkuu auze vitabu vya shule.
Kama amekosa chochote cha kumweka mjini, basi aanzishe pre-form one, kama walivyosema wadau waliotangulia!
 
yaaa saivi kila mtu ni mfanyakazi wa serikali ktk secta nyeti au ana ndugu yake sekta nyeti
kwa taarifa yako hizo taarifa hazina ukweli kwani kama unafuatilia vyombo vya habari vizuri kuna siku katika kipindi cha kumepambazuka asubuhi radio one alihojiwa naibu waziri tamisemi elimu kasimu majaliwa na alielezea vizuri suala la upungufu wa waalimu na akasema kwa sasa upungufu mkubwa ni kwa upande wa waalimu wa sayansi lakini bado serekali inahitaji waalimu wa masomo ya arts ili kuziba upungufu uliopo ambao sio mkubwa kama uliokuwa mwanzoni na hivyo serekali itaendelea kuajiri waalimu wapya !!!
 
we jamaa unataka kuumiza watu vichwa wasipotuajiri nan atalipa boom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…