- Thread starter
- #21
Primary ziko nying mtaani na walimu wanahtajika nendeni muombe kazi
haya mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Primary ziko nying mtaani na walimu wanahtajika nendeni muombe kazi
Ajira za ualimu waliohitimu 2014 zinatoka lini? Kitaa kigumu kweli hasa wenye bachelor za ualimu sababu hakuna tempo bora hao wa chet na Diploma walioenda kupoteza Muda JKT.
Ajira za ualimu waliohitimu 2014 zinatoka lini? Kitaa kigumu kweli hasa wenye bachelor za ualimu sababu hakuna tempo bora hao wa chet na Diploma walioenda kupoteza Muda JKT.
zitatoka mwakani miezi ya mwanzoni, kuweni na uvumilivu mtaajiriwa
Hivi ni hawa waliomaliza mwaka huu au?ajira za ualimu bado sana, nafikiri mpk tumalize kula pasaka
Hata vikao vya kupanga bado kufanyika kwakua serikali haina fedha then mwakani kuna mambo makubwa mawili yaani uchaguzi Wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hivyo huu mchakato utachelewa sana
jamani mbona mapema sana!mtaajiriwa nyote lakini muda bado hadi
So machi ni April 2015.
Ajira za ualimu waliohitimu 2014 zinatoka lini? Kitaa kigumu kweli hasa wenye bachelor za ualimu sababu hakuna tempo bora hao wa chet na Diploma walioenda kupoteza Muda JKT.
Nasikia wataajiri kwa kufuata ufaulu. Kama ni degree ni lazima uwe na at least an upper second class GPA.
wacha we hivi hizi habari za kuokota mnazitoleaga wapi duuh maana mnajua kuzusha kuliko hata magazeti ya udaku!!!!!
by the way hii nchi kila mtu ni mfanyakazi wa serekali na anataarifa muhimu kuhusu serekali bt muache hizo kelele kuweni wasomi bana kwani msomi huamini valid information na sio tetesi au udaku!!!!Nimelisikia kutoka kwa mtu wa karibu anayefanya kazi ktk sekretarieti ya ajira. Wamesema hiyo itawahusu walimu wa masomo ya arts ila haitawaathiri walimu wa sayansi. So far hizi ni tetesi ambazo zinaweza kuwa na ukweli au zisiwe kweli. Wanadai walimu wa masomo ya arts wametosha hivyo wataajiri hao wenye vigezo watakavyoviainisha kama umri na ufaulu
by the way hii nchi kila mtu ni mfanyakazi wa serekali na anataarifa muhimu kuhusu serekali bt muache hizo kelele kuweni wasomi bana kwani msomi huamini valid information na sio tetesi au udaku!!!!
Primary ziko nying mtaani na walimu wanahtajika nendeni muombe kazi
kwa taarifa yako hizo taarifa hazina ukweli kwani kama unafuatilia vyombo vya habari vizuri kuna siku katika kipindi cha kumepambazuka asubuhi radio one alihojiwa naibu waziri tamisemi elimu kasimu majaliwa na alielezea vizuri suala la upungufu wa waalimu na akasema kwa sasa upungufu mkubwa ni kwa upande wa waalimu wa sayansi lakini bado serekali inahitaji waalimu wa masomo ya arts ili kuziba upungufu uliopo ambao sio mkubwa kama uliokuwa mwanzoni na hivyo serekali itaendelea kuajiri waalimu wapya !!!yaaa saivi kila mtu ni mfanyakazi wa serikali ktk secta nyeti au ana ndugu yake sekta nyeti
Nasikia wataajiri kwa kufuata ufaulu. Kama ni degree ni lazima uwe na at least an upper second class GPA.
Nimelisikia kutoka kwa mtu wa karibu anayefanya kazi ktk sekretarieti ya ajira. Wamesema hiyo itawahusu walimu wa masomo ya arts ila haitawaathiri walimu wa sayansi. So far hizi ni tetesi ambazo zinaweza kuwa na ukweli au zisiwe kweli. Wanadai walimu wa masomo ya arts wametosha hivyo wataajiri hao wenye vigezo watakavyoviainisha kama umri na ufaulu
zitatoka mwakani miezi ya mwanzoni, kuweni na uvumilivu mtaajiriwa