Waliambiwa tarehe ya kuripoti,na wamesharipoti,waitwaje tena au wewe unataka stahki zao?
Kama ni suala la stahki zao,namba za akaunti za benki si zilijazwa?
Yaani nchi hii kwa sasa Ukitaka kuishi kwa raha
Fuateni sheria za nchi bila masharti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Lakini Ukitaka ujanja janja lazima uumie maana mianya yote ya wapiga dili imeziba kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.