Ajira za utotoni zimekithiri Dodoma, Serikali iingilie kati

Comment yako inaonyesha upeo wako ulivyo. Watu kama ninyi akili zenu zinawatosha kuvuka barabara tu.
 
Hao siyo watoto wadogo bali ni maumbile yao! Tayari walikwisha maliza elimu ya msingi na sasa wako on job training.
kweli aisee itakuwa wamedumaa tu kwa kubebeshwa ndoo nzito za maji , kubeba magunia ya mkaa na kukosa lishe bora.

mleta mada ukiwaona tena hao watoto hebu waulize umri zao na kama wameoa au la utuletee majibu kabla Mayele hajatetema!!

ila ukikuta kama ni watoto kweli na wako makao makuu anakoishi Bimkubwa na wameajiriwa basi mikoa mingine itakuwa balaa!

anyway hili taifa we don't care for children welfare development! huwa tunaimba tu , we have no plan of action for them bali tunayo plan ya kujaza wamama wazee kwenye nyadhifa kubwa kubwa na wanaboronga mno!!
 
Hizi adhabu za kikatili zinazotolewa kwa wanafunzi hasa wa shule za msingi
Nazo zinachangia watoto kukuimbia na kuchukia shule matokeo yake watoto ukimbilia kwenye ajira za utotoni

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…