Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Ajira kuwa permanent hakumaanishi huwezi kuacha kazi tena ni simple sanaNingepewa nafasi ya kuhudumu kama mwajiri ningebadilisha taratibu zote za UTUMISHI wa UMMA kutoka kuwa ajira za kudumu mpaka mkataba wa mwaka mmoja.
Naamini hakuna anaependa kutumika maisha yake yote, hivyo wanaochoka nafasi hizo wawaachie wale wanaozitaka.
Hii itaongeza chachu ya utendaji kazi uliotukuka kwani mwenye nia ya kusalia kazini Atafanya kazi kwa bidii na yule ambae Tayari ashajiweza kiuchumi na anatamani kufanya mambo yake binafsi, itakuwa ni muda sahihi kwake kutokuongeza mkataba na kufuata mambo yake. Nadhani hii itaondoa tatizo la ajira kwa kiasi chake.
Wapo watu wengi washazichoka kazi walizoajiriwa lakini wanaenda kwasababu tu ndiyo kazi zo na hii ndiyo hasa inafanya kuwepo kwa utendaji mbovu kwenye ofsini nyingi za Umma.
Nawasilisha.
Andika barua ya masaa 24 lipa na mshahara mmoja, au andika notisi ya mwezi mmoja bila kulipwa mshahara utaondoka kwa amani kabisa
Labda uniambie iwe hivyo kwa kigezo, cha kuhamasisha utendaji hapo kweli