Ajira za uwalimu kwa Non-graduate, naomba kufahamu

Ajira za uwalimu kwa Non-graduate, naomba kufahamu

Ulivyotaja Tu SAUT Mkuu Umenikumbusha Sana Ile Hostel Yetu Ya Darfur Na Nimemkumbuka Mno Yule Mwangalizi Wa Hiyo Hostel Aitwae Kaka Zawadi. Aliyeibatiza Jina Hilo La Darfur Hiyo Hostel Hakukosea Kwani Ni Darfur Kweli. Long Live SAUT And I Love SAUT......... " We Build The City Of God ".

uliishi Darfur kumbe! kiumeni pale
 
Tatizo la SAUT passing mark yao kubwa 50 daa ni shida tupu.
 
Habarini wadau.

Naomba kuuliza kama mtu una supplementary au carryover na ulitakiwa kumaliza chuo mwaka jana (degree) je unaweza kuajiliwa kwenye ajira mpya za walimu zijazo na halmashauri ikakupokea?

Naomba mnijuze jamani.

hutaajiriwa mkuu. cz kuna mda wa kuchomoa sup kabla ya ajira mpya kutangazwa. nna uhakika kwa hili, zamani iliwezekana il a sku hizi za usoni hiyo kitu haipo, kuna jamaa zangu tumemaliza nao Saut morogoro (JUCO) hawakuajiriwa ajili ya sup mwaka jana
 
Back
Top Bottom