Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah! masikini wadogo zangu wa certificate wasio hata na alternative.
Una umri gani?
Kwa mfano ungeandika sasa badala ya xaxa vidole vingepata mimba au?
Taarifa nilizopo
hapa wizaran ni kwamba kutokana na ufinyu wa budget uliopo ndani ya
wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuna taarifa ambazo zimeanza kuvuja
chini chini kwamba kwa wahitimu walio maliza kozi hiyo kwa mwaka
2013/2014 ajira zao zitasitishwa kwa muda wa mwaka mmoja ,,
Taarifa hizo zinadai kwamba walimu wote walio maliza mwaka 2013
wataunganishwa na wale watakao maliza 2014 katika ajira zitakazo tolewa
mwaka 2015 februry.
Baada ya kupatatetesi hizo nilifunga safari hadi ofisi husika na
kukutana na mama mmoja ambaye naye ni muhusika wa swala hili.kwa vile ni
mtu ambaye nina utani naye nikaona nijaribu kumdadisi ingawa hakutak
kunieleza kwa uwazi lakini maelezo yake yalionesha kuwa taarifa hizi
zina ukweli ndani yake.lakini pia alinidodosa kitu kwamba kauli zinazo
tolewa na baadhi ya viongozi wa juu wa wozara hiyo ni mbinu ya kuendelea
kuwa matumaini walimu hao ili kuepusha minong'ono na akaniambia pia
mh.j. mhagama alitangaza mwezi april na itakapo fika april zitatolewa
taarifa zingine.kwa mfano.alianza rais mwaka jana akasema ajira mwezi wa
kumi mwaka jana,akaja majaliwa akasema mwezi wa kwanza mwaka huu,akaja
naibu waziri akasema feb-march na sasa naibu mpya naye kasema april .
Na akasema kutokana na hali hiyo hadi sasa wizara haina hata pesa na
kuwapeleka wanachuo wa certificate na diploma kwenye mafunzo kwa vitendo
hali ambayo hadi sasa wakuu wa vyuo wameanza kulalamikia ,, na kuna
taarifa zingine ambazo nitawajuza hivi punde nikikamilisha ninacho
fuatilia.
NB:kwa wale walimu wanao suburi ajira ni bora muangalie alternative
nyingine ya ku sign mikataba private schools huu ni ushauri wangu
binafsi