Ajira za walimu 2013/2014 zasitishwa.

jamani Walimu wahitimu wana hali mbaya huku mtaani.. Mnooo..
 
dah! masikini wadogo zangu wa certificate wasio hata na alternative.
 
Khaaaaaaa!!!, kwa hiyo huyu dogo hapa nitaendelea kumlea hadi mwakati!???.? Plz seriakalitekelezen majukumu yenu vizuri nchi inaangamia tafadhari,, dah!!! Nashindwa hata nisemeje kwakweli inaumizaa!!,
 
Kwel ni shidah!!!!bt kiukwel walim wenzang bora 2jikite katka masuala mengne kama kilimo na biashara ktegemea ajira 2takufa njaaa na serikal yet haina huruma kwa kwel
 
Wanasubiri kuwapoza na kuwatumia wakati wa uchaguzi mkuu 2015

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ushaur kwa walimu wenzangu ni kwamba tujikite kwenye shughuli nyingine.Mbona 2015 kesho tu!
 
na kidogo kilichobaki wabunge wa bunge la katiba wanataka wapewe
 

kila mtu anakuja na habari yake nishachoka na hizi tetesi za kila leo. kwa nini tusisubiri tu mpaka zitakapotoka na sio kutiana moyo na kukatishana tamaa wakati ukweli wowote hakuna !
 
yawezekana!! nackia ishu kama hi ishawah tokea miaka ya nyuma kwa taarifa ya kaka ang ambae ilimuhusu na ni mkaguz 4 now
 
Tena usitaman kuja huku kijijin, maisha yako taiti kinoumaa.
JAMANI!!!! Natafuta kazi na ninauwezo wa kufundisha masomo ya HISABATI na KIINGEREZA pia ni mwalimu mzuri wa MICHEZO
 
Na kweli,kama mwakan huu ni hv mwakan itakuwa zaidi...ila ilkuwaje vzur wawatolee majna ili wajijue wamo au hawamo,waanze mishe zngne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…