Skinner lxg
Member
- Feb 21, 2014
- 16
- 1
Hapa ha2jaingia kazn bdo na 2kiajiriwa je?????????
NDIYO MAANA HUFANYA SIRI MAANA SASA WATU KAMA WEWE SI NDIO MWAIVUA NGUUUO HIZO WIZARA KILA MARA DUUUUU twashukuru kwa taarifa lakini umekiuka kanuni na taratibu za UTUMISHI WA UMMA kwa kutoa siri za ndani ya ofisi! Haaa kumbe mwakani uchaguz tobaa pesa zaandaliwa enda huko huendaMwanzo nilizisia kama tetesihapa ofsn na ujue kuna usiri mkubwa sana hapa wizarani kuhusu swala la ajira yaani hata watumish wengi hapa nao huwa hawajui ajira huwa zitapangwaje ndio mana nikafunga safari kwenda kudafisi ofc husika.
Taarifa nilizopo hapa wizaran ni kwamba kutokana na ufinyu wa budget uliopo ndani ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuna taarifa ambazo zimeanza kuvuja chini chini kwamba kwa wahitimu walio maliza kozi hiyo kwa mwaka 2013/2014 ajira zao zitasitishwa kwa muda wa mwaka mmoja ,,
Taarifa hizo zinadai kwamba walimu wote walio maliza mwaka 2013 wataunganishwa na wale watakao maliza 2014 katika ajira zitakazo tolewa mwaka 2015 februry.
Baada ya kupatatetesi hizo nilifunga safari hadi ofisi husika na kukutana na mama mmoja ambaye naye ni muhusika wa swala hili.kwa vile ni mtu ambaye nina utani naye nikaona nijaribu kumdadisi ingawa hakutak kunieleza kwa uwazi lakini maelezo yake yalionesha kuwa taarifa hizi zina ukweli ndani yake.lakini pia alinidodosa kitu kwamba kauli zinazo tolewa na baadhi ya viongozi wa juu wa wozara hiyo ni mbinu ya kuendelea kuwa matumaini walimu hao ili kuepusha minong'ono na akaniambia pia mh.j. mhagama alitangaza mwezi april na itakapo fika april zitatolewa taarifa zingine.kwa mfano.alianza rais mwaka jana akasema ajira mwezi wa kumi mwaka jana,akaja majaliwa akasema mwezi wa kwanza mwaka huu,akaja naibu waziri akasema feb-march na sasa naibu mpya naye kasema april .
Na akasema kutokana na hali hiyo hadi sasa wizara haina hata pesa na kuwapeleka wanachuo wa certificate na diploma kwenye mafunzo kwa vitendo hali ambayo hadi sasa wakuu wa vyuo wameanza kulalamikia ,, na kuna taarifa zingine ambazo nitawajuza hivi punde nikikamilisha ninacho fuatilia.
NB:kwa wale walimu wanao suburi ajira ni bora muangalie alternative nyingine ya ku sign mikataba private schools huu ni ushauri wangu binafsi
Update
Kuna hatihati walimu wa certficate na diploma wasiende Field (Btp), kwani hadi sasa mchakato wa peda zao haueleweki huku, kkuhusu ajira za walimu maelezo yangu hapo juu tayari yapo confirmed ndivyo itakavyo kuwa,,ingawa kuna watu wamekuja na uongo kuwa ajira zitatoka leo,, habari hiyo ni uzushi na uongo mkubwa ,hakuna taarifa hiyo.
Walimu manao subiri ajira tafadhari msiendelee kupoteza mda wenu kwa kusikiliza tetesi za uongo zinanzo letwa na baadhi wanwatu humu,,kama kuna fursa imejitokeza ingia mkataba uenelee na majukumu mengine.
...kama kuna fursa imejitokeza ingia mkataba uendelee na majukumu mengine.
Naona unaitetetea taarifa yako.
Kama... Na kama haijajitokeza???
Mh! Hizo tetesi hata mimi nimezisikia hapa...
Mmkuu loook hilo unalo lisema hata mimi nalifahamu lakini ukae ukijua kuna walimu wameongopa kuingia mikataba na shule binafsi kwa hofu ya kuvunjika kabla yaa wakat endapo post zitatangazwa hivyo wamekuwa ni watu wa kesho ,kesho huku mda ukizidi kuyoyoma embu fikiria toka mwezi wa tano watu waliingia mkataba hadi septemba mwaka jana baada ya hapo wanaogopa kusign kwamba ajira zawweza toka mda wowote halafu ikawa shida na wengine makataba uliisha desember wameogopa ki sign tena january kwa hofu hiyo hiyo hivyo wamekuwa nyumbani mda wote huku wakiwwa hawaelewi kipi kipi, ndio mana nika ona niwape tu hata kama ni tetesi lakini huenda ukweli upo ndani kwa atakaye.Mh! Ni ushauri mzuri lakin ungekuw mwalimu unae subiri ajira nafikiri na wewe ungekuwa umshaona kama hizo fursa kweli zipo ama laaa! Watu wamesh hangaika sana kutafuta tempo na wamekosa ,nyie huwa mnajisemea tuu !!! Kisw,hist,hayo nayo ni masomo na ndio mana yanafundushwa,yasinge kuwa na umuhimu namini wizara ingeyaondoa kwenye mtaala.
Upo right mkuu, kwan wewe upo wizarani??Mmkuu loook hilo unalo lisema hata mimi nalifahamu lakini ukae ukijua kuna walimu wameongopa kuingia mikataba na shule binafsi kwa hofu ya kuvunjika kabla yaa wakat endapo post zitatangazwa hivyo wamekuwa ni watu wa kesho ,kesho huku mda ukizidi kuyoyoma embu fikiria toka mwezi wa tano watu waliingia mkataba hadi septemba mwaka jana baada ya hapo wanaogopa kusign kwamba ajira zawweza toka mda wowote halafu ikawa shida na wengine makataba uliisha desember wameogopa ki sign tena january kwa hofu hiyo hiyo hivyo wamekuwa nyumbani mda wote huku wakiwwa hawaelewi kipi kipi, ndio mana nika ona niwape tu hata kama ni tetesi lakini huenda ukweli upo ndani kwa atakaye.