Ajira za walimu 2013/2014

Rt. Rev.

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
34
Reaction score
4
Hivi hizi ajira za walimu ni lini? WanaJF naomba mnijuze kama kuna mwenye nyepenyepe!
 
Hivi hizi ajira za walimu ni lini? WanaJF naomba mnijuze kama kuna mwenye nyepenyepe!

Walikuwa wakisubili mabadiliko ya mawaziri kwahiyo kabla ya ijumaa (tar: 25 January, 2014) watakuwa wameshaweka post lakini kuripoti vituoni itakuwa mwezi wa tatu.
 
Walikuwa wakisubili mabadiliko ya mawaziri kwahiyo kabla ya ijumaa (tar: 25 January, 2014) watakuwa wameshaweka post lakini kuripoti vituoni itakuwa mwezi wa tatu.

Kwani mawaziri wamesha apishwa?
 
Mbna tayari gonga hapa GOOGLE.
 
Last edited by a moderator:
Inasemekana wanaapishwa leo.

Wakisha apishwa hapo sawa, ila haijalishi ni siku gani, siku hazigandi, siku ya ajira kutangazwa na kuajiriwa itafika.
Nmesoma miaka zaidi ya 10 siwezi shindwa kusubiri miezi michache iliyo baki kuingia kazini.
 
mkiona had j2 kimya mjue mheshimiwa kasepa na flash ya majna ya walimu baada ya kumuvusishwa.
 
Rritz we ndo utusaidie kila Mara umekuwa upande Wa serikali na msemaji asiye rasmi
 
Hivi hizi ajira za walimu ni lini? WanaJF naomba mnijuze kama kuna mwenye nyepenyepe!

Kuwa na subira kwenda kuripoti remote areas kama: Magulu kenda, Cha nkende, Nyugwa, Shabaka, ndanda, tandahimba na makongorosi. Jiandae kisaikolojia hapana mitandao huko laptop uiache kwenu tu, pia simu utakuwa unasafiri kuja mjini kupiga simu unapanda bunda bus au shambalay. Chezea vijiji vya tz wewe!
 
hahaha! Kazi ipo!
 
Makongolos_chunya ni mjini usidanganye watu,umeme+maji+network za mitandao ya simu zipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…