Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hizi ajira za walimu ni lini? WanaJF naomba mnijuze kama kuna mwenye nyepenyepe!
Walikuwa wakisubili mabadiliko ya mawaziri kwahiyo kabla ya ijumaa (tar: 25 January, 2014) watakuwa wameshaweka post lakini kuripoti vituoni itakuwa mwezi wa tatu.
Walikuwa wakisubiri mabadiliko ya Mawaziri kwahiyo kabla ya Ijumaa (tar 25 January, 2014) watakuwa wameshaweka post lakini kuripoti vituoni itakuwa mwezi wa tatu.
Inasemekana wanaapishwa leo.Kwani mawaziri wamesha apishwa?
Mbna tayari gonga hapa GOOGLE.
Inasemekana wanaapishwa leo.
Hivi hizi ajira za walimu ni lini? WanaJF naomba mnijuze kama kuna mwenye nyepenyepe!
Kuwa na subira kwenda kuripoti remote areas kama: Magulu kenda, Cha nkende, Nyugwa, Shabaka, ndanda, tandahimba na makongorosi. Jiandae kisaikolojia hapana mitandao huko laptop uiache kwenu tu, pia simu utakuwa unasafiri kuja mjini kupiga simu unapanda bunda bus au shambalay. Chezea vijiji vya tz wewe!