Ajira za walimu 2013 _2014

Ajira za walimu 2013 _2014

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
salam kwenu!
naomba mwenye taarifa sahihi/zenye ukweli atuwekee hapa kwani tetes zimekuwa nyingi mno mala mwezi wa 9,umeisha mala wa 12 na wengine wa 2 mwakani, sisi tunaozisubir kiukweli tunapata shida nakwanini serikari inalifanya hili kwa usili kias hiki?
 
subiri kwa xaxa czan hyo ndoto yako ya ajira itatimia ajira n mwz wa 2 tafuta mixhe nyngne ufanye
 
wewe huna hata miez miwili mtaani unaanza ulizia post za ajira.... watu tulikaa miez 5 then wa 6 ndio tukapangiwa. sasa mwaka huu sijui ni lini mtakuja kuungana nasi wa mwaka jana..
 
Mwezi wa 3 mwakani!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
salam kwenu!
naomba mwenye taarifa sahihi/zenye ukweli atuwekee hapa kwani tetes zimekuwa nyingi mno mala mwezi wa 9,umeisha mala wa 12 na wengine wa 2 mwakani, sisi tunaozisubir kiukweli tunapata shida nakwanini serikari inalifanya hili kwa usili kias hiki?

Mbona majibu unayo mwenyewe. mwaka 2011, 2012, 2013 ajira zimetoka mwezi wa pili, we ulikuwa huchunguzi hilo?
 
Back
Top Bottom