Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

AD MostWanted

Senior Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
108
Reaction score
12
Hadi mwezi huu wa4 (April) hakuna tamko, taarifa za kiintelijensia ni kwamba hata kibali kutoka ) ofisi ya rais menejiment na utumishi kwenda tamisemi bado! Je hali hii inatupa picha gani walimu??
Au wanatuona makatuni? na isitoshe humu wanapita na kutucheka!!!
 

Mliambiwa walimu wanatosha mashuleni, sayansi ndo watapata ajira baadae sana sababu pesa haitoshi kuwalipa mishahara mpaka kufikia mwaka wa fedha 2015/16.
 
umeona na wewe ufungue uzi wako..

dah walimu taraji ajira zpo ila sio leo wala hakuna ajuaye zaid ya kikwete na ndo mana hata+hao tamisem member hawana uhakika wengne utasikia tar2 wengne 31 na wengne mwez 5 au wa 7.
 
Angalia chatguest fungua account taarifa utapata uko baada ya ajira kutoka zinatoka soon
 
Katibu Mkuu amesema kumekuwepo na uvumi
kwa baadhi ya mitandao ya kijamii kutangaza
kuajiriwa walimu wapya kitu ambacho sio cha
kweli na amewataka wananchi kutumia mitandao
maalum ya Serikali yenye dhamana ya kutangaza
ajira za watumishi nchini kwani kwa hivi sasa
Wizara inasubiri kufanya upangaji wa watumishi
walimu na mara fedha zao zitakapokuwa tayari
watapangwa katika maeneo mbalimbali kulingana
na uhitaji wa mahali husika.
 
Nausikia kabisa ule wimbo wa Wacko Jacko-They don care about Us
hii ni hari mbaya sana kwa Taifa ambalo watoto wa masikini wanasoma ktk shule zisizo na walimu huku watoto wao wakisima shule za nje ya nchi!!!
 
Hahahahaha! kaka umeua kinoma eti shem wetu akuamin ana his umefeli pole sana kaka..I wish soon mambo yatakuwa fresh.
 

Hiyo taarifa ilitoka tarehe 26 feb. Icheki vizuri kwenye details yawezekana walichelewa kuipost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…