je wasio na combination mfano wa GATCE ?
Umeambiwa fedha hamna nn huelw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je wasio na combination mfano wa GATCE ?
Mbona huwaletei habari motomoto wenzio kutoka fb na watsap au napo kumenuna! Poleni sana mungu atajaaliaAjira soon
Mbona huwaletei habari motomoto wenzio kutoka fb na watsap au napo kumenuna! Poleni sana mungu atajaalia
Ajira soon
Hadi mwezi huu wa4 (April) hakuna tamko, taarifa za kiintelijensia ni kwamba hata kibali kutoka ) ofisi ya rais menejiment na utumishi kwenda tamisemi bado! Je hali hii inatupa picha gani walimu??
Au wanatuona makatuni? na isitoshe humu wanapita na kutucheka!!!
Daaaah mipango inaharibika mpaka mpnz wangu haniamin anazani mm nilifeli chuo
Mliambiwa walimu wanatosha mashuleni, sayansi ndo watapata ajira baadae sana sababu pesa haitoshi kuwalipa mishahara mpaka kufikia mwaka wa fedha 2015/16.
sio kweli kabsa kuna upungufu mkubwa sana wa walimu wa arts na sayansi mfano wilaya ninayofanyia kazi kuna idadi ndogo ya walimu wa sayans na wa English