Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

Kwan walim tunapenda kulalamika?kwan kada nyingine ajira zimetoka? achen kutuaibisha tunashindwa nn kusubir!
 
Hadi mwezi huu wa4 (April) hakuna tamko, taarifa za kiintelijensia ni kwamba hata kibali kutoka ) ofisi ya rais menejiment na utumishi kwenda tamisemi bado! Je hali hii inatupa picha gani walimu??
Au wanatuona makatuni? na isitoshe humu wanapita na kutucheka!!!

baba subira yavuta heri but 2angalie after likizo ya mwez wasita ko wasaba we can repot. TANZANIA NI NCHI YA MATAHIRA ndomana viongozi huwadharau walimu wao WALIOWAPA Mwanga wa maisha.
 
Mliambiwa walimu wanatosha mashuleni, sayansi ndo watapata ajira baadae sana sababu pesa haitoshi kuwalipa mishahara mpaka kufikia mwaka wa fedha 2015/16.

sio kweli kabsa kuna upungufu mkubwa sana wa walimu wa arts na sayansi mfano wilaya ninayofanyia kazi kuna idadi ndogo ya walimu wa sayans na wa English
 
sio kweli kabsa kuna upungufu mkubwa sana wa walimu wa arts na sayansi mfano wilaya ninayofanyia kazi kuna idadi ndogo ya walimu wa sayans na wa English

Unachokisema ni sahihi, tatizo la maafisa elimu na taaluma huumpa rais takwimu za idadi ya walimu isiyo sahihi. Mfano kuna shule moja huko Uyui Tabora ina mwalimu mmoja kwa kila somo la sanaa na kwa upande wa masomo ya sayansi shule haina mwalimu wa physics na chemistry kwa muda wa miaka mitatu sasa. Hali ni tete mashuleni asikuambie mtu hasa hasa vijijini. Hili tatizo haliko sekondari tu bali hata katika shule za msingi hazina walimu wa English Language, Sayansi na Hisabati na ndiyo maana wanafunzi wanaobahatika kujiunga na elimu ya sekondari huwasumbua sana masomo haya.
 
wakimpa rais idadi sahihi watakosa kula mishahara ya marehemu, wafanyakazi walioacha kazi na waliofukuzwa.
 
haaa haaa walimu punguzen pressure ajira zipo njiani mwez huu hauishi
 
yaaan mpenz wako mbulula kiasi hicho hata hawezi kusikiliza taarifa za habar redioni kuwa ajiea bado?.
watu mnajibebea mizigo jaman hivi unategemea kuzaa watoto wenye akili darasani na ya maisha kweli? usije rudi hapa oooh mke wangu ni mzigo oooooh mshahara anataka kula bata tuu
 
WITO:Walimu unganeni kwa umoja wenu mseme HAPANA kwa ccm hapo october.Hata kama mtapata ajira.Zingatieni hili sana.
 
Walimu unganeni mtafute kiwanja then muende bank kuchukua mkopo mfungue shule yenu na mpigishe kitabu watoto wetu. Hilo ni wazo langu na ninatumaini mkilifanyia kazi mtafanikiwa katika maisha na kuacha kuililia serikali isiyokuwa sikivu kwa watu wake!!!
 
Vile vile mnaweza kwenda kuomba ajira za kufundisha katika shule za kata ambapo mkuu wa shule anawaajiri kwa mkataba wa muda na malipo ni mazuri tu wanalipa kuanzia Tsh 80,000/= hadi Tsh 150,0000/= kwa mwezi. Hili litakusaidia kujenga uzoefu kazini. Ila ukijiona wewe una elimu kubwa huwezi kulipwa Tsh 80,000/= kwa mwezi haya, utaendelea kulialia kuwa hujapata ajira. Itafute ajira upate ajira.
 
Back
Top Bottom