Ajira za Walimu kutangazwa leo.

Ajira za Walimu kutangazwa leo.

Hiyo ndo serikali ya Hamim Augustino chini ya uongozi wa mkulu mtasugua sana benchi na mkifika huko mnakuta pesa ya kujikimu hamna halafu wanasema wanawapeleka vijijini ambako hamna nyumba.
 
uongozi wa Mulugo ni sawa na Bi Kirembwe Giningi yaani nyeupe iwe nyeusi na nyeusi iwe nyeupe! Mmh.....basi balaa tupu!
 
Zitoke bwna make mtaani mambo hayaendi sabbu ya high tension juu hzo post!
 
Ssa hii mambo itawasababishia vjana wa ng'ox vdonda vya tumbo na bp mana wamekuwa km vifaranga vya kuku kla siku nyonyo kesho!
 
Back
Top Bottom