Ajira za walimu lini nmechoka

Ajira za walimu lini nmechoka

Nawewe si ungeandika uzi wako kwamba huna ajira na unamasters. Kudandia uzi wa mtu na kumnanga sio vyema. Hao wenye masters za nini? Ajira zenye vipaumbele vya serikali unazifahamu? Acha kuwa na chuki binafsi.
 
Usiendekeze uzembe uzalendo kwanza huyu anaedai serikali haimpi ajira karibu alipo kuna shule nyingi si ajitolee kufundisha watampatia kifuta jasho unafikiri kuja kulalamika huku ndo itamsaidia?UZALENDO KWANZA TAMBUA FURSA ANZISHA TUISHEN KULIA LIA SIO VIZURI KAMA UNAJUA KULIA LIA NI DIRI BASI ENDELEAAAAA SUBIRIA SERIKALI YAKO YA CCM SI WALIKUAHIDI AJIRA!
 
Baba Lai! una uhakika gani na taarifa yako? tetesi zimekua nyingi sana, kila mtu anaongea anachojisikia@
 
Last edited by a moderator:
Pole, jaribu kupeleka CV yako kwenye mashule hasa ya private uwezi jua nini kipo mbele yako. Usisubiri matangazo weye nenda kafanye hivyo kama haujafanya. Hata kuwapostia mashuleni wapigie ulizia contacts za wanaohusika andika cover letter kwa kila cv unayotuma hata ukituma 50 weye tuma au peleka tu. Mungu awe nawe.
 
Anzisha Tuition... Dah! nimepakumbuka sana Mchikichin, Dar
 
Kwa kuwa una mda wa kukaa home\gheto tafuta kitabu kinaitwa "acres of diamond" by russel. Kina story inayongusa kila mtu,
 
Usiendekeze uzembe uzalendo kwanza huyu anaedai serikali haimpi ajira karibu alipo kuna shule nyingi si ajitolee kufundisha watampatia kifuta jasho unafikiri kuja kulalamika huku ndo itamsaidia?UZALENDO KWANZA TAMBUA FURSA ANZISHA TUISHEN KULIA LIA SIO VIZURI KAMA UNAJUA KULIA LIA NI DIRI BASI ENDELEAAAAA SUBIRIA SERIKALI YAKO YA CCM SI WALIKUAHIDI AJIRA!
Hahahaaaaaaaa! Msafwa wa swaya karibu na kanisa katoliki paleeeeeee!
 
vuta subira ndg zangu walimu 26 feb all things w'll be ok,karibu tu ungane shule za walala hoi, watoto wa vigogo wako pravate.BRN csee results 2013 govenment schools no one. du! haya.
 
Usijali kesho mwanawane!!! Haha ! Jiandae kwenda gezaulole!!!
 
vuta subira ndg zangu walimu 26 feb all things w'll be ok,karibu tu ungane shule za walala hoi, watoto wa vigogo wako pravate.BRN csee results 2013 govenment schools no one. du! haya.

Labda cjui lakni
 
Usiendekeze uzembe uzalendo kwanza huyu anaedai serikali haimpi ajira karibu alipo kuna shule nyingi si ajitolee kufundisha watampatia kifuta jasho unafikiri kuja kulalamika huku ndo itamsaidia?UZALENDO KWANZA TAMBUA FURSA ANZISHA TUISHEN KULIA LIA SIO VIZURI KAMA UNAJUA KULIA LIA NI DIRI BASI ENDELEAAAAA SUBIRIA SERIKALI YAKO YA CCM SI WALIKUAHIDI AJIRA!

wewe walimu wa histry,uraia,kiswahli, hawana dili mtaani. Hata kama wanafundisha bure,shule haziwahtaji.
 
Back
Top Bottom