Napenda kuwatarfu wana jf na walm wenzangu kuwa serkal ime2kumbka kwa kutoa post ze2. mie nmepangwa liwale lindi, wenyej wa huko npatien uzoef wa jamii na pakoj kw mazingra afu toka mza had huko cost sh. ngap?. natangulza shukran. Mungu awabariki.
naifahamu vema liwale mkuu, mazingira yake nadhani ndio magumu kuliko wilaya yoyote katika mikoa ya kusini ila itategemea kata gani unayoenda. komaa mtoto wa kiume nenda kazini. kuhusu nauli kutoka dar hadi liwale nauli ina range toka 25-30
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.