Miongoni mwa kazi mbaya duniani ni zile ambazo hazina MASALIA, kuna vijana wengi sana najua wanakuja kwenye wizara ya Elimu wakiwa wametokea directly from University & Colleges huwa wanakuwa na mitazamo mikubwa sana juu ya hii kazi, but If you want to know how to swim you must jump into the water then negotiate whether to flow or to floats. Karibuni sana vijana mje mjionee wenyewe!!
wapi?post tayri zimetangazwa hongereni walimu