Ajira za walimu:siku kuhesabiwa.

Ajira za walimu:siku kuhesabiwa.

NYANGESON

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
34
Reaction score
9
Kwa mujibu wa hotuba ya rais Jk aliyoitoa jana walimu 28746 kuajiliwa jan 2013.jan ndo hii,so walimu kaeni mkao wa kula,but jiandaeni kwenda vijijini.hongereni walimu.
 
Miongoni mwa kazi mbaya duniani ni zile ambazo hazina MASALIA, kuna vijana wengi sana najua wanakuja kwenye wizara ya Elimu wakiwa wametokea directly from University & Colleges huwa wanakuwa na mitazamo mikubwa sana juu ya hii kazi, but If you want to know how to swim you must jump into the water then negotiate whether to flow or to floats. Karibuni sana vijana mje mjionee wenyewe!!
 
We m CB vp?
 
celewi vizuri kwann fani ya ualimu imekosa thaman yake,tatzo n fani yenyewe au n fani ukilnganisha na fani nyingine.
 
Karibuni sana wandugu, ila siwapi moyo, mambo si marahisi kama baadhi ya walimu tarajali wanavyodhani... kama walimu wa sayansi mna hali mbaya.
:confused2:
 
Wafike tu wafundishe watoto wetu. Kufundisha kwanza malipo kwa Mungu! tunawatakia kazi njema!
 
Hayakuhusu bibiye hizo cku huesabiwi wewe,watu wengine bwana.
 
post tayari walimu wote wameenda up countrie hakuna aliyepata DSM na mikoa mingine ya mjini...km umepiga mchongo wa dar pesa yko imeliwa ndugu
 
Back
Top Bottom