tehetehe anasema kwa taarifa alizokuwa nazo ni kwamba ajira mwezi wa saba na kilichokuwa kinapelekea huko ni suala la kura ya maoni na serikali ilikosa pesa za kuwapa walimu za kujikimu. sasa anasema kwakuwa mchakato wa katiba umesitishwa basi huenda ndani ya mwezi huu wakati wwt jamaa wanaweza wakaachia coz kinachofanyika sasa ni kutafuta pesa na zitumwe kwenye halmashauri kwaajili ya kujikimu. hizi ni kudra za mwenyezi mungu tu.hii ni kauli ya viongozi mwandamizi serikalni