Ajira za walimu tanzania kwa mwaka 2014-2015

Ajira za walimu tanzania kwa mwaka 2014-2015

Damy Scotty

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
717
Reaction score
454
Najua wapo wenye dhamana husika humu ndani..hiv kuna ukweli wowote kuhusu hiyo attachment??
 
Attachments

  • 1428402125437.jpg
    1428402125437.jpg
    68.8 KB · Views: 91
tehetehe anasema kwa taarifa alizokuwa nazo ni kwamba ajira mwezi wa saba na kilichokuwa kinapelekea huko ni suala la kura ya maoni na serikali ilikosa pesa za kuwapa walimu za kujikimu. sasa anasema kwakuwa mchakato wa katiba umesitishwa basi huenda ndani ya mwezi huu wakati wwt jamaa wanaweza wakaachia coz kinachofanyika sasa ni kutafuta pesa na zitumwe kwenye halmashauri kwaajili ya kujikimu. hizi ni kudra za mwenyezi mungu tu.hii ni kauli ya viongozi mwandamizi serikalni
 
Mbona hilo tanganzo halina nembo ya serikali. Document kama ni ya kiserikali kweli,hata kama haijagongwa mhuri basi angalau iwe na nembo yake (bibi na bwana). Anyway labda kuna ukweli
 
Mbona hilo tanganzo halina nembo ya serikali. Document kama ni ya kiserikali kweli,hata kama haijagongwa mhuri basi angalau iwe na nembo yake (bibi na bwana). Anyway labda kuna ukweli

Cdhan..hata me pia nmegundua hilo mkuu! Limekaa khun sana
 
hiyo feki kwanza haina nembo pili haina muhuri tatu format mbovu sijawahi ona kama mtoto wa veta anajifunza kutumia word ameshindwa hata ku align. kosa jingine haijasainiwa.
 
Back
Top Bottom