Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

Hata ningekuwa mwalimu kazi ya ualimu siitaki labda nje ya tz
 

Kweli mkuu. Mimi ni mtu mzima. Nimefanya kosa japo si kwa kukusudia. Naomba unisamehe. Niliingia kwa makosa. Nadhani ni uchovu. Ila baada ya kukosolewa na mwingine nimerudia na nimeona taarifa yenyewe. Nimekosa kukuchukulia kama wale wanaotoa mzaha tangia hili jambo lilipoanza. Tafadhali usinikasirikie ndugu yangu. BASI NITARUDI NCHINI KUJIPANGA NA HAYO MAPYA JAPO KAZI IPO.
 

Pamoja sana mkuu, nashukuru kwa uelewa wako
 
Jiandaeni na posho ya 240,000/= ,na 350,000/= kwa mwezi
 
uko makini mjumbe tunashukuru kwa taarifa
 
Aman kwako mkuu ngaja tuwe wavumiliv mpaka hyo tar15-apr tuone itakuwa vp icje kuwa ni danadana za serekal juu yetu ili tusikate tamaa ya kuishi-
 
hii ajira au uchafu!...kuliko kuwa mwalimu ni bora nikavue samaki. Mshahara wenu wa mwezi mimi natumia siku moja!..teh!teh!...bongo ni majangaz you know!

Napenda watu kama wewe, unanipa apetaiti ya kufanya kazi kwa bidii, ambacho sijakifurahia ni kudharau kazi ya mtu.

Ungekuwa unajiweza usinge fanya kazi under mask that is cowardness holygrail
 
Last edited by a moderator:
haya kazi kwenu
 

Attachments

  • 1394474414520.jpg
    65.2 KB · Views: 299
  • 1394474428724.jpg
    52.2 KB · Views: 284
 
hii ajira au uchafu!...kuliko kuwa mwalimu ni bora nikavue samaki. Mshahara wenu wa mwezi mimi natumia siku moja!..teh!teh!...bongo ni majangaz you know!


mmmh!!!! mkuu holygrail acha dharau zako na heshimu taaluma za watu, kwanza nikwambie ukweli majivuno unayo mkuu, na ukiwa ke halali yako lakini kama we ni me basi una matatizo mwili mzima. Humu ndani sidhani kama ni mahala pa kuleta aina ya utovu wa nidhamu kama huu wako, walimu mtusamehe bure kwa ajiri ya huyu jamaa kiukweli kanikera, afu na mbwebwe hizi utakuta kwa wiki anaingiza chini ya 25M.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…