Ajira za walimu wapya hizoo!

Taharifa za hivi ni kuwapa watu vihoro vya bure kabisa
 
we mwalimu mwenzangu usifurahie taarifa ya kisiasa hiyo, eti siku yoyote kuanzia sasa kwani hata mwezi wa6 bado ni siku yoyote kuanzia sasa! mm naona ngoja tumsikilize mkuu wa nchi kesho atasemaje katk hotuba yake kwa sabb katk hotuba yake ya mwish wa mwaka jana, alisema ajira za walimu zita tangazwa mwanzoni mwa mwaka2014 sasa tuone kesho atakuja na lipi!
 


Well said!! Lakini una uhakika mkuu wa kaya yupo hapa Nchini kweli!??? Pamoja na hayo tarajia kusikia maneno yanayo fanana na ''muda wowote kuanzia sasa''!!
 
Hata kama hatokuwepo, bila shaka recorded speech itakuwepo.
...Lakini una uhakika mkuu wa kaya yupo hapa Nchini kweli!??? Pamoja na hayo tarajia kusikia maneno yanayo fanana na ''muda wowote kuanzia sasa''!!
 
Changamoto kubwa ya wanahabari wa nchi hii na Watanzania wengi ni kushindwa kuhoji. Watu hawashtuki na kuhoji kauli zenye utata, mtu aliye makini hawezi kusherekea anapoambiwa ":... muda wowote kuanzia sasa"
 
Niliposema "hata kama hatokuwepo" nilimaanisha 'ikitokea yeye kutokuwepo'.Hakuna haja ya 'recorded speech' kwa sababu yupo, ame'postpone tu.
Vipi ushaisikiliza hiyo Recorded speech uliyosema itakuwepo bila shaka yoyote!!!???
 
Fedha za kuwajiri tumezipeleka kuboresha daftari la wapigakura' kwahiyo hatutawaajiri mwaka huu' vumilieni mpaka mwakani' over

Nawaonea huruma wadogo zangu ambao wapo shule za kata, maana wanakosa waalim kwa uzembe/kuto kuwa makini kwa serikali, shule za private zinahitaji sana waalimu, so kadri serikali inavyo zidi kuchelewesha ajira ndivyo idadi kubwa ya waalim wana ajiriwa shule za private.
Binafsi i do Chemistry and Biology, nikiingiingia mitini sijui itakuwaje.
 
kumbe jf hakuna hata mmoja aliyekaribu na wizara au ndo kiburi chao tu washindwe hata kufunguka tar rasmi ya ajira?. haya kama mpo nauliza post ztatoka lini?
 
2subiri muujiza 2, kwan serikali inadaiwa kias kwamba kila mtanzania anadaiwa laki 6, asa pesa ya kuajir itatoka wap
 
hahah !, A Father nadhani sasa imani yako nayo kidogo imepungua ktk baadhi ya mambo unayoyasikia na kuyasoma ! , January is gone already !

Zangu zilikua expectations tu.
Nawajua wanasiasa Mkuu, si wa kuaminiwa wakisema tu, mpaka yatimie kwa vitendo.
 
Last edited by a moderator:

Kwel broh ni kuwa patient mwsho lazma kielewek-mpaka nimeamua kuuza chenchi hap town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…