Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mwalimu mwenzangu usifurahie taarifa ya kisiasa hiyo, eti siku yoyote kuanzia sasa kwani hata mwezi wa6 bado ni siku yoyote kuanzia sasa! mm naona ngoja tumsikilize mkuu wa nchi kesho atasemaje katk hotuba yake kwa sabb katk hotuba yake ya mwish wa mwaka jana, alisema ajira za walimu zita tangazwa mwanzoni mwa mwaka2014 sasa tuone kesho atakuja na lipi!
...Lakini una uhakika mkuu wa kaya yupo hapa Nchini kweli!??? Pamoja na hayo tarajia kusikia maneno yanayo fanana na ''muda wowote kuanzia sasa''!!
tena ilikuwa haibu kujitangaza mwlZamani hizi post zilionekana chungu, za kudharaulika nk Kweli soko la ajira ni gumu!
Hata kama hatokuwepo, bila shaka recorded speech itakuwepo.
tena ilikuwa haibu kujitangaza mwl
Vipi ushaisikiliza hiyo Recorded speech uliyosema itakuwepo bila shaka yoyote!!!???
Atazungumza akiwa Mbeya nn?
Fedha za kuwajiri tumezipeleka kuboresha daftari la wapigakura' kwahiyo hatutawaajiri mwaka huu' vumilieni mpaka mwakani' over
Atazungumza akiwa Mbeya nn?
Yeah that's what's up, kesho.
hahah !, A Father nadhani sasa imani yako nayo kidogo imepungua ktk baadhi ya mambo unayoyasikia na kuyasoma ! , January is gone already !