kumbe jf hakuna hata mmoja aliyekaribu na wizara au ndo kiburi chao tu washindwe hata kufunguka tar rasmi ya ajira?. haya kama mpo nauliza post ztatoka lini?
Tatizo lenu ni wagumu kuelewa' tumesema hakuna fedha ya kuwaajiri mwaka huu'
sasa mbona pr sifuni na Rais waliwaahidi wananchi kwa mda wowote ajira zitatoka huku wakijua kwa selikari haina pesa za kuajiri
Fedha tulizotenga kwa ajil ya ajira za walimu' imetulazimu kuzipeleka tume ya uchaguzi kuboresha daftari la wapiga kura'
Zamani hizi post zilionekana chungu, za kudharaulika nk Kweli soko la ajira ni gumu!
2subiri muujiza 2, kwan serikali inadaiwa kias kwamba kila mtanzania anadaiwa laki 6, asa pesa ya kuajir itatoka wap
ela ndio nini?