Ajira za walimu wapya hizoo!

Ajira za walimu wapya hizoo!

kumbe jf hakuna hata mmoja aliyekaribu na wizara au ndo kiburi chao tu washindwe hata kufunguka tar rasmi ya ajira?. haya kama mpo nauliza post ztatoka lini?

Tatizo lenu ni wagumu kuelewa' tumesema hakuna fedha ya kuwaajiri mwaka huu'
 
Tatizo lenu ni wagumu kuelewa' tumesema hakuna fedha ya kuwaajiri mwaka huu'

sasa mbona pr sifuni na Rais waliwaahidi wananchi kwa mda wowote ajira zitatoka huku wakijua kwa selikari haina pesa za kuajiri
 
sasa mbona pr sifuni na Rais waliwaahidi wananchi kwa mda wowote ajira zitatoka huku wakijua kwa selikari haina pesa za kuajiri

Fedha tulizotenga kwa ajil ya ajira za walimu' imetulazimu kuzipeleka tume ya uchaguzi kuboresha daftari la wapiga kura'
 
Fedha tulizotenga kwa ajil ya ajira za walimu' imetulazimu kuzipeleka tume ya uchaguzi kuboresha daftari la wapiga kura'

RSR sema chanzo ni ww mwenyewe ktk kitengo au karibu na idara ! ;kwi kwi kwi !, kweli humu ndani unaweza hata ku-act ka-obama !
 
Last edited by a moderator:
Hivi serikali haithamini kabisa elimu? Mbona walimu hawaajiriwi licha ya kuwepo uhaba wa walimu shuleni? Kama tatizo ni pesa mbona posho za wazee wa mjengoni huwa hazikwami? Mbona hawaja wahi kuahirisha hata siku moja bunge na kusogeza mwezi mmoja mbele kwa kukosa pesa? Mbona safari za vigogo hazikwami kwa kukosa pesa? Mbona za kujenga daraja la dumila zilipatikana? Serikali hii iondoke ili tujaribu na upande wa pili wa shilingi. Walimu tushikamane tuiondoe.
 
Hay ndo maneno, 2015,dawa yao hukuwa ondoa 2,mafixadi wasiojua wajibu wao kama viongozi jaman.chadema ndo mpango 2
 
Ibakie hivihivi ili tujue idadi ya walimu wa jf tz
 
Back
Top Bottom