kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipambele cha bajeti nahisi sio walimu. Eitherway, ajira sio haki yako.., ni msaada tu. Tafuta biashara ufanye , hata ya kufyatua tofali.Serikali imekuwa ikitangaza ajira lakini mara kwa mara matokeo hayalingani na ahadi. hii ni kwakada zote
Hivi karibuni, tumeshuhudia uajiri wa walimu 6,000 badala ya 14,000 waliotarajiwa, bila maelezo ya kina kuhusu upungufu huo.
Hii ni dalili ya ukosefu wa uwazi na kutowajibika kwa wale wanaosimamia ajira hizi.
Katika dunia ya leo, hatuwezi kupoteza muda na michakato isiyoeleweka. tunashudia michakato ya ajira kuchuka hata miezi 6 bila sababu za msingi
Taifa linahitaji hatua madhubuti, si maneno matupu. Serikali inapaswa kueleza kwa uwazi: Je, kuna changamoto za bajeti? Kuna upendeleo au urasimu usio na tija? Au ni mazingira ya rushwa yanayozuia ajira hizi kutolewa kwa haki?
Hatuhitaji ahadi zisizotekelezeka wala ucheleweshaji usio na sababu. Kazi zitatangazwa, basi zitolewe kwa wakati! Mfumo wa ajira unapaswa kuwa wa wazi, wa haraka, na wenye tija kwa nchi. Serikali iwe makini—wananchi wanahitaji utekelezaji, si visingizio!
ikumbukwe hizi ajira zilitangazwa mwaka jana mwezi july
halafu ni vyema kama kuna changamoto sekratariet ya ajira ikatoka hadharani ikasema kuna sababu moja mbili tatu ambazo znapelekea situation nzima.
Wataendelea kutoa Pdf kuwa na AmaniSerikali imekuwa ikitangaza ajira lakini mara kwa mara matokeo hayalingani na ahadi. hii ni kwakada zote
Hivi karibuni, tumeshuhudia uajiri wa walimu 6,000 badala ya 14,000 waliotarajiwa, bila maelezo ya kina kuhusu upungufu huo.
Hii ni dalili ya ukosefu wa uwazi na kutowajibika kwa wale wanaosimamia ajira hizi.
Katika dunia ya leo, hatuwezi kupoteza muda na michakato isiyoeleweka. tunashudia michakato ya ajira kuchuka hata miezi 6 bila sababu za msingi
Taifa linahitaji hatua madhubuti, si maneno matupu. Serikali inapaswa kueleza kwa uwazi: Je, kuna changamoto za bajeti? Kuna upendeleo au urasimu usio na tija? Au ni mazingira ya rushwa yanayozuia ajira hizi kutolewa kwa haki?
Hatuhitaji ahadi zisizotekelezeka wala ucheleweshaji usio na sababu. Kazi zitatangazwa, basi zitolewe kwa wakati! Mfumo wa ajira unapaswa kuwa wa wazi, wa haraka, na wenye tija kwa nchi. Serikali iwe makini—wananchi wanahitaji utekelezaji, si visingizio!
ikumbukwe hizi ajira zilitangazwa mwaka jana mwezi july
halafu ni vyema kama kuna changamoto sekratariet ya ajira ikatoka hadharani ikasema kuna sababu moja mbili tatu ambazo znapelekea situation nzima.
Walimu wengi walionifundisha walikuwa vilaza hawajawahi pata ufaulu kama wanguKama walimu wana akili fupi ni dhahiri kuwa watanzania wote wana akili fupi ila akili za wasio walimu zitakuwa shorter/shortest
Huwezi kufundishwa na mwenye akili fupi na ukawa na akili ndefu
Watanzania kwa ujumla ni VILAZA/WAOGA/WAPUMBAVU na cha ajabu wanalaumiwa walimu ndio wamesababisha
Hivi walimu na mapolisi/wanajeshi nani wana impact kubwa kwenye kuamua kura ziibiwe au laa?
Kuna rafiki yangu ana degree ya IT kapata kazi ya upolisi, kaenda depo mwaka juzi na mwaka jana kaingia kazini, anasema walienda mafunzo special kwa ajili ya uchaguzi 2025 (kumbuka walienda 2023)
Hivi uchaguzi wasiposimamia walimu kura hazitoibiwa?
DP world walimu wamehusika? Hao kada nyingine wamefanya nini?
Ngorongo walimu wamehusika? Wewe na wenzako mmefanya nini?
Kule KENYA zile movement zinafanywa na walimu? ( No, bali watu wote hata wasiosoma)
CONCLUSION
Huenda walimu wakawa vilaza kama mnaposema humu, ila kama ni kweli basi waliobakia watakuwa ni vilaza zaidi kuliko walimu
Maana kuwategemea walimu ndio wawapambanie wakati nyinyi wenyewe hamna chochote mlichofanya chenye alama hapa nchini (ni kushihirisha upumbavu wa hali ya juu)
mtoa post kasema ajira zilikua 14k wamaejiri 6k halafu wapo kimya akatumia logic kuhoji hapo katikati kuna nini ambacho hakiwekwi waziWalimu huwa mna akili fupi sana na ndio maana mnadharauliwa.
Ajira hizo 14,000 zimeanza kutolewa kuanzia July 2024 na zitakoma June 2025 ,so ni Ajira za awamu Kwa awamu na sio za mkupuo.
Fuatilia Toka zimeanza kutoka mwaka Jana Hadi juzi kati zomefikia ngapi badala ya kubwatuka upuuzi.
Ndio maana mnaogopa interview eti mumepewa cheti 🤣🤣
Wewe na mtoa mada ni walimu mbumbumbumtoa post kasema ajira zilikua 14k wamaejiri 6k halafu wapo kimya akatumia logic kuhoji hapo katikati kuna nini ambacho hakiwekwi wazi
sasa wew na mtoa post nani an akili fupi. simply mjinga ni wewe hapo
Unadhihirisha wewe ni kilazaWalimu wengi walionifundisha walikuwa vilaza hawajawahi pata ufaulu kama wangu
japo mimi sio mwalimuWewe na mtoa mada ni walimu mbumbumbu