Ajira za walimu zilikua 14,000 wameajiri 6000 halafu wamekaa kimya takribani siku 7 hakuna kinachoendelea

Hawa nao walimu?

Wasanii nao walimu?

Halafu atalauiwa mwalimu😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20250301-071213.png
    867 KB · Views: 3
Kipambele cha bajeti nahisi sio walimu. Eitherway, ajira sio haki yako.., ni msaada tu. Tafuta biashara ufanye , hata ya kufyatua tofali.
 
Wataendelea kutoa Pdf kuwa na Amani
 
Walimu wengi walionifundisha walikuwa vilaza hawajawahi pata ufaulu kama wangu
 
mtoa post kasema ajira zilikua 14k wamaejiri 6k halafu wapo kimya akatumia logic kuhoji hapo katikati kuna nini ambacho hakiwekwi wazi

sasa wew na mtoa post nani an akili fupi. simply mjinga ni wewe hapo
 
Waalimu kwa kudeka kama wasichana waliovunja ungo juzi juzi 🙌
 
mtoa post kasema ajira zilikua 14k wamaejiri 6k halafu wapo kimya akatumia logic kuhoji hapo katikati kuna nini ambacho hakiwekwi wazi

sasa wew na mtoa post nani an akili fupi. simply mjinga ni wewe hapo
Wewe na mtoa mada ni walimu mbumbumbu
 
Walimu wengi walionifundisha walikuwa vilaza hawajawahi pata ufaulu kama wangu
Unadhihirisha wewe ni kilaza
1. Kitendo cha kukufundisha mpaka upate ufaulu mkubwa inadhihirisha kuwa hao walimu ni smart,
2. Kupata ufaulu mkubwa haimaanishi wewe upo smart, Kuna sababu nyingi zinasababisha mtu apate ufaulu mkubwa ikiwemo hamasa ya ndani ya mwanafunzi pamoja na mazingira
3. Kinyume Cha maelezo yako sio sahihi, pamoja na ufaulu wako mkubwa ukipelekwa shule za kata hapa DSM huwezi kutoa hata 50% ya wanafunzi wataofaulu kama wewe
 
HAWA NDIO WATANZANIA AMBAO WATAKUJA KUWALAUMU WALIMU KWENYE UCHAGUZI

#PICHA Maelfu ya Watanzania wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo usiku wa kuamkia leo wamejitokeza katika Viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es salaam kufanya mkesha wa maombi ya kuliombea Taifa la Tanzania, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote katika kuelekea Uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye alikuwa Mgeni rasmi katika mkesha huo ambao uliongozwa na Viongozi mbalimbali wa kidini wakiwemo Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
 

Attachments

  • Screenshot_20250301-071213.png
    867 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…