Ajira za walimu!

Ajira za walimu!

Nataman km wote 2ngefankiwa coz nmepata pain zote za kukaa mtaan bla job! Bt God ameskia, i heard that next wik post znatoka!

Nani kakudanganya wewe mpaka julai ajira mpya zinatoka.
 
majibu yote ni sahihi kwa asemae kazi ipo ama ni longolongo vyovyote vile
 
Back
Top Bottom