Ajira za walimu

MPARE KIBOGOYO

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
405
Reaction score
279
Wakuu hali ni mbaya sana kitaa, siku zinasonga kila mtu anasema lake,tetesi zimekuwa nyingi. maisha nimeyaendesha kwa kubet(Mikeka) lakini siku za karibuni naona nyota haipo upande wangu. Mwenye taarifa sahihi na ajira mpya za walimu..lini?
 
choma mahindi
 
Vuta subira kijana,kwa mujibu wa Mulugo,ajira ni kati ya Jan-March mwaka 2014
 
duu''hasra sana maisha tait huko kitaa bora nilipo kuwa camp''acha wacheleweshe watu material yanahama''coz hata kuandaa scheme of work nazdisahamu''''
 
ni january hii inavyosemekana, rejea gazeti habari leo Dec.23rd 2013
 
MWALIMU ALIKUWA NYERERE PEKE YAKE nyie wa cku hizi magumashi mengi!
 
MWALIMU ALIKUWA NYERERE PEKE YAKE nyie wa cku hizi magumashi mengi!

we mburura ina maana huyo nyerere kafundisha wa tz wote peke yake? na ualimu kazaliwa nao au na yeye alifundishwa? mama yako na baba yako walifundisha na nyerere? kama ukijibu hayo maswali ndio utajua mwalimu ni nyerere peke yake!! inakubidi ujitambue ww, km haujavunja ungo(kubalehe mtoto wa kike).
 
Subiri baraza la Mawaziri lisomwe kwanza. Lakini ndani ya January post zitakuwa zimetoka then March ndo kuripot.
 
vuta subira mkuu. Ndio tunamalizia hapa. Mwezi huu mwishoni mambo hazarani.
 
kwan wewe mama yako na baba yako walifundishwa na nan?? au ndo hawakusoma kabisa?? kwan ww umenielewaje hapo juu??----- wewe usikurupuke 2mia akili kucomment..ubongo wako utakuwa na makamasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…