MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
Wakuu hali ni mbaya sana kitaa, siku zinasonga kila mtu anasema lake,tetesi zimekuwa nyingi. maisha nimeyaendesha kwa kubet(Mikeka) lakini siku za karibuni naona nyota haipo upande wangu. Mwenye taarifa sahihi na ajira mpya za walimu..lini?