Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mosi, uraia limebaki suala la muungano,Nauliza tu maana nina utata.
Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je
Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani
watarudi kwao? Nisadieni utata huu
Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu
Inabidi uende uhamiaji Tanganyika ujaze form ya permit uombe,then uhamiaji waone kama una sifa za kukaa Tanganyika
Kama unasifa basi unaweza pewa first class permit kwa $ 2000 kwa mwaka.
KAKA KWAHERI TANGANYIKA KUNA WENYEWE SHEHE🙂
Tukubali kuwa kuwepo kwa serikali tatu ni kukaribisha aina fulani ya ubaguzi na kunyanyapaana, hivyo kwa mzanzibari mwenye ajira bara ajiandae kurudi kwenye kazi ya kupogolea kiunga cha minazi yake huko Mchambawima.
hakuna mjadala katika hilo na mengine mengi tu!...punde tutajua nani akidhulumiwa na uwepo wa muungano huu..!Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu
Tukubali kuwa kuwepo kwa serikali tatu ni kukaribisha aina fulani ya ubaguzi na kunyanyapaana, hivyo kwa mzanzibari mwenye ajira bara ajiandae kurudi kwenye kazi ya kupogolea kiunga cha minazi yake huko Mchambawima.