Ajira zilikuwa kipindi Cha jk toka hapo ajira imekuwa ni za kubeep!!

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kuna watu wanamdiss jk lakini ukweli ni kwamba kipindi Cha jk kila kitu kilifunguja na ajira kila mahala.hata jeshi hakukuwa na haja ya kupita jkt kila mtu aliyekuwa na passion basi jeshi ilikuwa easy. Walimu na madaktari wote wanaopenda kuajiriwa serikalini walipata ajira bila kunakiza mtu. Jpm akaja kuharibu kila kitu kuanzia hapo ajira zimekuwa kizungumkuti!!!
 
Kweli kabisa, mzee wa msoga alimwaga ajira kama njugu.....kama vipi tumrudishe kwenye usukani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…