Ajira zilizotolewa kwa vijana 2023/24 = 607475

Ajira zilizotolewa kwa vijana 2023/24 = 607475

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Ajira zilizotolewa kwa vijana 2023/24 = 607475

IMG-20240812-WA0109.jpg
 
Ajira ya ofisini na kofia ngumu? Hizi ajira mjumuisho wa ajira za Saidia fundi na zingine
Mbona kuna jamaa kasema ni za uhasibu, mazingira, maendeleo ya jamii, afya nk. Hizo za saidia fundi kule SGR na bomba la mafuta chongoleani tanga hazijahesabiwa
 
Mbona kuna jamaa kasema ni za uhasibu, mazingira, maendeleo ya jamii, afya nk. Hizo za saidia fundi kule SGR na bomba la mafuta chongoleani tanga hazijahesabiwa
Hizo za unskilled ndio kibwena! Kutoa ajira mpya serikalini kwa idadi Hiyo sio kitu kidogo na ni jambo gumu sana

Afya na elimu tu hazifiki 50,000
Majeshi ndio kabisa maana kambi au sehemu wanazoenda kufanyia mazoezi uwezo wa kuchukua watu kwa wakati mmoja ni wakawaida
 
Back
Top Bottom