Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Hizi ni za aina gani?
Hizi ni za aina gani
Kada mbalimbali huasibu, mazingira, maendeleo ya jamii, wachumi, misitu kila idara.Hizi ni za aina gani
Kumbe za kudumu tu, wamejitahidi sana. Nilifikiri hadi zile za muda wamehesabiaKada mbalimbali huasibu, mazingira, maendeleo ya jamii, wachumi, misitu kila idara.
Mbona kuna jamaa kasema ni za uhasibu, mazingira, maendeleo ya jamii, afya nk. Hizo za saidia fundi kule SGR na bomba la mafuta chongoleani tanga hazijahesabiwaAjira ya ofisini na kofia ngumu? Hizi ajira mjumuisho wa ajira za Saidia fundi na zingine
Hizo za unskilled ndio kibwena! Kutoa ajira mpya serikalini kwa idadi Hiyo sio kitu kidogo na ni jambo gumu sanaMbona kuna jamaa kasema ni za uhasibu, mazingira, maendeleo ya jamii, afya nk. Hizo za saidia fundi kule SGR na bomba la mafuta chongoleani tanga hazijahesabiwa