Ni kweli kwani idadi ya watu inaongezeka kwa kasi kubwa.
Ni kwanini Ma Human resources huwa wana roho mbaya wakishakuwa kwenye kazi wakati kabla ya kuomba kazi huwa mikono wanaweka chini wakiwa ofisini washakaa miaka kadhaaa huwa hawatoi msaada kwa waajiriwa wapaya au wanaotafuta ajira.?????