Ajira zimekua kizungumkuti nchini kwetu

Ajira zimekua kizungumkuti nchini kwetu

Joined
Nov 15, 2012
Posts
7
Reaction score
1
si jambo la kuficha kwamba nchi yetu imekua na tatizo la ajira kwa vijana ingawaje wengi wao wana elimu ya kutosha
 
Eti wanasema tujiajiri-Kilimo,biashara,mifugo,............kwa ujumla tuwe wajasiriamali.
 
Ni kweli kwani idadi ya watu inaongezeka kwa kasi kubwa.
Ni kwanini Ma Human resources huwa wana roho mbaya wakishakuwa kwenye kazi wakati kabla ya kuomba kazi huwa mikono wanaweka chini wakiwa ofisini washakaa miaka kadhaaa huwa hawatoi msaada kwa waajiriwa wapaya au wanaotafuta ajira.?????
 
Back
Top Bottom