Ajira zinazopatikana katika njia za Digitali (Freelancing Jobs)

Ajira zinazopatikana katika njia za Digitali (Freelancing Jobs)

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,981
Reaction score
3,604
Freelancing jobs: Hizi ni kazi za mtandaoni ambazo mtu unafanya ukiwa katika ofisi yako ama nyumbani kwako zinaitwa freelancing jobs, ajira hizi unakuwa hujaajiriwa na mtu yeyote bali umejiajiri mwenyewe, kwa lugha nyepesi unaweza kuita kazi za mkataba/ contact jobs. Hapa ni wewe na mwenye kazi mnakubaliana kama utalipwa kwa masaa au kwa kazi uliyofanya (fixed price, piece work).
Baada ya kupata hio kazi wewe ndio unaamua utaifanya muda gani kulingana na deadline mliyowekeana na aliyekupa kazi hakuna mtu wa kukuangalia unafanya muda gani cha muhimu ni wewe uweze kumaliza kazi kulingana na makubaliano na kama kuna changamoto unawasiliana na mtoa kazi haraka na kutatua tatizo.
Baadhi ya Kazi za freelancing unazoweza kufanya
1. Accounting
2. IT
3. Social media marketing
4. Content writing
5. Video Editing
6. Language teaching
7. Translation Jobs
8. Website development
9. Photograph
10. Market analyst
11. Data collection, Entry, and Analysis
12. Virtual assistance/customer care
13. Laws and closing business deal
14. Window shopping or price listing and many more............

Nini cha kufanya uweze kupata kazi hizo
Kwanza ni kutambua platform za kazi, hizi zipo nyingi sana duniani mfano Freelancer .com, Thumbtack, Toptal, Simply hired, People per hour, Behance, 99Designs, flex zipo za bure na za kulipia Mimi nauzoefu wa platform 2 za bure ambazo ni Fivver na Upwork.

Muhimu kutambua sio kila platform mtu unaweza kujiunga kuna platform ziko mchanganyiko mfano Upwork huko kuna kazi zote za kila aina kuanzia design, digitech mpaka data entry, lakini pia kuna platform nyingine ziko very specifi mfano 99Designs hii ni mahususi kwa ajili ya designers, PubMed ni specific kwa content writers, Flex ni kwa music …

Unalipwaje????? hii ni sehemu muhimu sana kama huna kitambulisho cha NIDA, Leseni, Passport ya kusafiria huwezi kulipwa, utahitajika kujua mambo ya kidijitali mfano Skrill account, Paypay, Payoneer hizi ndio njia maarufu kwa Upwork ndugu zetu wa Kenya wao wanaweza kuhamishia pesa zao moja kwa moja kwenda Mpesa ya Safaricom.
Kwa watanzania inakulazimu kufungua account ya Payoneer na kisha kuiunga na benk yako mf. Equity Bank, CRDB na NMB mimi natumia NMB but CRDB bank ni nzuri Zaidi kwa mambo ya mtandao na exchange rate plus transactions.

Nani anahakikisha kuwa client/mteja na freelancer anapata anachostahili yaani mwenye kutoa kazi anapewa kazi yenye ubora kulingana na makubaliano na freelance/mwenye kupewa kazi analipwa stahiki yake?
Platform ndio inakuwa kama THIRD PARTY tutolee mfano Upwork mwenye kutoa kazi/client ataweka tangazo lake, freelancers wataliona tangazo na kutuma maombi kisha client atafanyia interview ama kuajiri moja kwa moja mtu atakaeona anafaa, lakini kabla ya kumwajiri client atapaswa kufund malipo ya kazi Escrow account ya Upwork na kisha atakutumia Job offer ambayo wewe freelancer utaisoma na kukubali ukisha accept job offer utaona kuwa client ameshafund pesa Upwork escrow au laa kama bado utasubiri mpaka aweke fund. Kwa Upwork kuna kitu inaitwa readness test hii ukifanya inakuwezesha kutambu Do and Donts, ni muhimu uifanye na ufaulu

Ukishaanza kazi ukimaliza utamtumia client kazi yake na automaticallyutakuwa umerequest payment client akiridhika atarelease payment Upwork watakata ada yao 20% mfano 100USD Upwork watachukua 20USD utabakiwa na 80USD hii ndio itakuwa halali yako.

Kama hajaridhishwa na kazi atakuambia wapi pa kurudia na blaaa blaa last atakulipa ama kuvunja mkataba hapa utaamua mwenyewe kwa utashi wako kama ukiona umeonewa utasign form na kufungua mashtaka Upwork mediator team watawasuluhisha kulingana na mkataba wenu unavyoonesha…..kama ni hourly contract kuna namna yake either ni automatically ama ni manually au ni fixed contract.

Hakuna ujanja ujanja na ukizinguza kwa kufanya kazi mbovu makusudi ama kujaza masaa zaidi THIRD PART anaweza kukufungia kabisa account yako na kupewa permanent suspenstion. Hapa nashauri tu wabongo kuwa na descipline, perservance, hardworking, reliable, honest and humble. Tambua unalipwa na ufanye kazi kweli pia ukifanya kazi mbaya utapewa review mbaya so next time ata clients wengine wanakukwepa .....Apa akili kumkichwa
Lastly mwenye haki kwa kuwa pesa tayari anayo THIRD PARTY ambaye ni Platform ataamua na maamuzi hayo yanakuwa ni mwisho huwezi kukata rufaa kama ni client ndio kimekula kwake ama kwako.

Nimeona leo niandike kwa kirefu sababu mwaka jana nilichangia uzi na kuonyesha watu kuwa freelancing jobs ni really na mimi nimefaidika nazo , changamoto ikaja mtu anakufuata pm anakuomba umsaidie mnachati later unampa namba za simu kurahisisha maelezo mnaendelea anakuja tena mwingine unamwelekeza maelekezo yanakuwa ni mengi plus ugeni wa platform wengine wakuwa ni wageni kabisa kila kitu anauliza. Mtu ata bank akounti hajawahi kufungua…. Kwanza hakikisha una computer sababu ata ukipata kazi ya kutafsiri huwezi kufanya kwa simu, kuna CAT tool kama memoq ama SDL Trados unahitajika kuwa nazo kuweza kufanya hio kazi unless uwe na tablet but kwangu desk top computer au laptop ni muhimu sana.

Kama huna computer usijali hakuna kuchelewa wala kuwahi freelancing ni kazi jichange kwa muda Fulani nunua vifaa vya kazi kuna wengine wanafanya voice over artist ama voice recording utahitajika kununua microphone nzuri ya kuanzia 500k, na vitu vingine labda kuweza kutengeneza homestudio, ukitaka kuwa freelancer usizanie kuwa kuna sehemu wanatoa free money ni unahitajika kutoa huduma tena huduma bora ndio unalipwa.

Kwa sasa watu watakaokuwa wanahitaji kupata elimu zaidi kuhusu freelancing tafadhali jua nitafundisha kwa malipo willing to pay and willing to accept, napokea malipo kwa Ruble ya Russia, TSH ya Tz na USD. Kama huna vigezo usijali freelancing jobs zipo tu kinachotakiwa ni kujua unataka kujifunza nini kama ni video editor, tambua wapi pa kujifunzia, platform zipi ujiunge, uwe karibu na wakina nani, computer ipi inaweza kuhifadhi program zako, ujuzi wako utamuuzia nani, baadae unajiongeza kidogo unajifunza na subtitle, unakwenda mbali unajifunza na animations…. Muhimu zaidi ni kuwa na right information. Baada ya kujifunza mambo mengi na kujaribu biashara kadhaa na kufeli niliweza kutambua kuwa right information nayo ni sehemu ya mtaji. By 卷尺/Tape Measure
 
Designers on peak
Designer kazi zenu zinalipa sana siku nikatumiwa invitation ilikuwa kutengeneza cover book nikaona naweza ruka nayo nikaandika cover letter mwisho nikaona clients ni wale wakuda wenye dharau yanini 50$ inidhalilishe unajua kuna maswali ya dharau mtu anakuuliza how would I prove you can do the work? Unamtumia sample, tukafanya zoom meeting bado anataka umbembeleze nikamtema hakuamini kabisa.

Guys you should know your limit when to leave the room. Mwingine tena nilimtoa linkedln kutoka USA akatuma ratiba ya kufanya zoom meeting kazi ilikuwa ni translation maneno laki 1 anadai umalize kazi yake ndani ya 17 hrs!!!!! Hii ilikuwa haiwezekani kabisa nikamwambia kwa 17 hrs sitoweza itanibidi nisilale kabisa ninywe kahawa usiku kucha pia niombe malaika wangu wanisaidie ndio miujiza ya kuimaliza inaweza kutokea akasema sawa. Akaongea kwanini anataka kazi imalizike mapema kisha

Akaniuliza tena utaweza kuifanya hii kazi kwa muda gani nikamjibu masaa 240 na kila siku nipate angalau masaa 6 ya kulala sio ujumlishe siku mfululizo akasema hapana. Kwa nini masaa 240 na sio 17? unauzoefu wa muda gani?
Nikajielezea kwa lisaa nitaweza kutranslate maneno 500 nitajitahidi kufanya kazi zaidi ya 12hrs kwa siku na kila siku nitafanya maneno 5000-6000 tukapiga hesabu palee.
akatabasamu akasema your the right candidate now the job is yours. Huyu alikuwa hana dharau na alikuwa mstaarabu pia swali lilikuwa na logic ya kutaka kujua kama unajua unachotakiwa kukifanya mwisho alinipatia kazi na bonus ambayo sijawahi kupewa yani bonus kubwa kuliko actual payment. Hii ndio ilikuwa conversation ngumu kwangu katika ulimwengu wa freelancing.
Screenshot_20220531-175818_Freelancer%20-%20Upwork.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220531-175811_Freelancer%20-%20Upwork.jpg
    Screenshot_20220531-175811_Freelancer%20-%20Upwork.jpg
    46.6 KB · Views: 138
Designer kazi zenu zinalipa sana siku nikatumiwa invitation ilikuwa kutengeneza cover book nikaona naweza ruka nayo nikaandika cover letter mwisho nikaona clients ni wale wakuda wenye dharau yanini 50$ inidhalilishe unajua kuna maswali ya dharau mtu anakuuliza how would I prove you can do the work? Unamtumia sample, tukafanya zoom meeting bado anataka umbembeleze nikamtema hakuamini kabisa.

Guys you should know your limit when to leave the room. Mwingine tena nilimtoa linkedln kutoka USA akatuma ratiba ya kufanya zoom meeting kazi ilikuwa ni translation maneno laki 1 anadai umalize kazi yake ndani ya 17 hrs!!!!! Hii ilikuwa haiwezekani kabisa nikamwambia kwa 17 hrs sitoweza itanibidi nisilale kabisa ninywe kahawa usiku kucha pia niombe malaika wangu wanisaidie ndio miujiza ya kuimaliza inaweza kutokea akasema sawa. Akaongea kwanini anataka kazi imalizike mapema kisha

Akaniuliza tena utaweza kuifanya hii kazi kwa muda gani nikamjibu masaa 240 na kila siku nipate angalau masaa 6 ya kulala sio ujumlishe siku mfululizo akasema hapana. Kwa nini masaa 240 na sio 17? unauzoefu wa muda gani?
Nikajielezea kwa lisaa nitaweza kutranslate maneno 500 nitajitahidi kufanya kazi zaidi ya 12hrs kwa siku na kila siku nitafanya maneno 5000-6000 tukapiga hesabu palee.
akatabasamu akasema your the right candidate now the job is yours. Huyu alikuwa hana dharau na alikuwa mstaarabu pia swali lilikuwa na logic ya kutaka kujua kama unajua unachotakiwa kukifanya mwisho alinipatia kazi na bonus ambayo sijawahi kupewa yani bonus kubwa kuliko actual payment. Hii ndio ilikuwa conversation ngumu kwangu katika ulimwengu wa freelancing.View attachment 2246026View attachment 2246027
saf mkuu
 
Huko ulikoficha majina yako haijasadia ili usijulikane majina yako…
Umesahau kuficha baada ya maneno Best regards…
 
Huko ulikoficha majina yako haijasadia ili usijulikane majina yako…
Umesahau kuficha baada ya maneno Best regards…
Mkuu jina na namba ya simu natoaga haina shida nilitaka kuficha sura hapa jf nafahamiana virtually na watu zaidi ya mia
 
Anayetaka kujifunza User Interface Design na Video Subtitles nafundisha kwa Affordable price hata ukutaka Physical.

Video Subtitles nakufundisha kwa siku moja na unakuwa Expert.

Nafundisha kutengeneza Portifolio ya kazi zako, Portfolio is your Business Card.
 
Hivi ndugu zangu ni site zipi naweza kutengeneza maudhui (content creator) nikalipwa bila longo longo.
 
Anayetaka kujifunza User Interface Design na Video Subtitles nafundisha kwa Affordable price hata ukutaka Physical.

Video Subtitles nakufundisha kwa siku moja na unakuwa Expert.

Nafundisha kutengeneza Portifolio ya kazi zako, Portfolio is your Business Card.
video subtitles

bei gani
 
Back
Top Bottom