Mbona hilo lilishawekwa wazi kuwa asilimia kubwa ya majeshi yana hitaji watu wenye elimu ndogo ya form 4, kwani ndio wenye majukumu mengi kwenye majeshi kulinganisha na hao wasomi, hao wasomi huwa ni wasumbufu sana, mtu anatafuta kazi kama kujiegesha tu , huko anakosubiria penye maslahi mazuri tu pakitiki anakimbia, kingine wanakuwa wasumbufu sana kudai maslahi, mala kwenda kutaka kuongeza elimu.lakini ukimchukua form 4, hadi aje ajiendeleze apate digrii sio leo, kama ni kwata ameshapigishwa sana, na huwa wanakuwa wavumilivu.
Zaidi ya Polisi 20 ni PhD holders
Zaidi ya Polisi 100 wana masters
Zaidi ya Polisi 6000 Tanzania wana digrii,
Zaidi ya Polisi 1000 wana diploma
Zaidi ya Polisi 4000 ni form VI
Waliobaki ndo form iv na Std VII wasiozidi 500 kwa sasa.
Kama unaona polisi wanafanya vibaya si kwa sababu wote hawana Elimu, ila ni kwa sababu si chombo huru toka kwenye mikono ya wanasiasa. Hao uliosikia wameteliwa Jana wanakwenda kutoa amri kwa Polisi kufanya chochote wanachoona wao kinafaa, na kama OCD husika hajiongezi ndo utakuta madudu na mafyongo kama ya Kaliua juzi ambako DC anasema "familia ilipanga mtoto wao afe kwa moto ili kuikomoa serikali".
Uwe mwelewa basi, nimekwambia katika kipengele cha mwisho;Hii taarifa yako ni ya kutia mashaka sana, sidhani kama nchi ina polisi 12,000 tu
Sio chai, nilishangaa sana zimepita kama wiki mbili hivi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii sio chai!?
Sio nchi hii tu, mbona ni nchi nyingi tu za kiafrika?!hata mwaka jana kenya walitoa tamkoKama tunataka kuifanya nchi hii kuwa bora hatuwezi kuendelea kukumbatia mawazo na mitazamo ya kinyonge kama hii.
Acha kupotosha hizo takwimu zako sio sahihi, haiwezekani wenye digrii wakawa wengi kuliko form 6!!na form 4,Zaidi ya Polisi 20 ni PhD holders
Zaidi ya Polisi 100 wana masters
Zaidi ya Polisi 6000 Tanzania wana digrii,
Zaidi ya Polisi 1000 wana diploma
Zaidi ya Polisi 4000 ni form VI
Waliobaki ndo form iv na Std VII wasiozidi 500 kwa sasa.
Kama unaona polisi wanafanya vibaya si kwa sababu wote hawana Elimu, ila ni kwa sababu si chombo huru toka kwenye mikono ya wanasiasa. Hao uliosikia wameteliwa Jana wanakwenda kutoa amri kwa Polisi kufanya chochote wanachoona wao kinafaa, na kama OCD husika hajiongezi ndo utakuta madudu na mafyongo kama ya Kaliua juzi ambako DC anasema "familia ilipanga mtoto wao afe kwa moto ili kuikomoa serikali".
Hivi wingi wa wenye digrii kuliko form iv unautoa wapi? Kuhusu form Vi kuwa wachache kuliko degree hilo halina ubishi sababu wengi wamejiendeleza kufikia degree.Sio nchi hii tu, mbona ni nchi nyingi tu za kiafrika?!hata mwaka jana kenya walitoa tamko
Acha kupotosha hizo takwimu zako sio sahihi, haiwezekani wenye digrii wakawa wengi kuliko form 6!!na form 4,
... kama nimekuelewa unamaanisha ni kazi isiyohitaji kutumia akili au ubunifu zaidi ya "kushikiwa akili" na boss; mhusika anabaki kuwa msukule au roboti tu la utekelezaji! Hatari sana kaz za aina hii.Polisi/jeshi ni kazi za amri na sio kazi za kutumia akili nyingi, mtu yeyote mwenye akili timamu, mkakamavu na mwenye uzalendo anaweza kua polisi/mwanajeshi.
Mkuu hilo sio kwamba nalisema mimi bali ni kauli ya aliyekuwa naibu waziri wa mambo ya ndani MASAUNI, alipoulizwa bungeni, ni kwanini ajira za polisi zinapotoka wengi ni wenye sifa za form 4, kuliko , wasomi!!akajibu kuwa ndio watendaji wakubwa wa shughuri za kila siku, tena sawa watu wanajiendeleza lakini ukweli bado uko pale pale, form 4, form 6, ndio wengi zaidi na sio polisi tu, ni kwa majeshi yote nchini, na ndio maana hata kupata nafasi ya kujiendeleza ni shughuri pevu sana, kwani wao wanaona ni kwa faida yako zaidi kuliko taasisi!!na sio Tz, tu hata kenya mwaka jana serikali ilibidi itoe tamko kabisa kuwa wasomi hawahitajiki sana, kwani ni wasumbufu wanataka kazi za ofisini tu, ambazo kwa jeshini ni chache, na wanataka kupanda vyeo haraka haraka tu!!Hivi wingi wa wenye digrii kuliko form iv unautoa wapi? Kuhusu form Vi kuwa wachache kuliko degree hilo halina ubishi sababu wengi wamejiendeleza kufikia degree.
Itakuwa poa sana,hakuna haja ya kuajiri kijana wa form six wakati vijana wenye diploma,shahada,mpaka za uzamili wapo kibao,hii ifanyike kwenye majeshi yote,itaruondolea vijana mbulula waliojaa kwenye majeshi ambao hawana wanachokijua zaidi ya ubabe kwa Raia tuIli kuboresha utendaji na weledi wa jeshi la polisi nchini ni vyema serikali ikaweka kigezo cha elimu kama kipaumbele kwa ngazi zote za polisi.Hii ni kutokana na umuhimu na unyeti wa kazi za ulinzi wa usalama wa raia na mali zao.
Waajiriwe vijana waliomaliza diploma, digrii na masters tu katika jeshi la polisi. Hakuna sababu tena ya kuendelea kuajiri watu ambao hawajafika kiwango hicho cha elimu kama tunajinasibu tunaipa elimu kipaumbele katika nchi yetu, pia vijana wa ngazi hizo za elimu wamejaa mitaani wakizurura na bahasha zao kutafuta ajira na wengine wameanza kuendesha boda boda kitu ambacho ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Tulifanye jeshi la polisi kuwa la kisasa kwa kuipa elimu kipaumbele katika ajira zake kwani inawezekana.
Keki ya Kinjagu au ma Mwela