Anaweza kutembeza juice?Kwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote.
Umri: 26 yrs
Elimu: Form 4
Makazi: Dar es salaam
Kwa aliye serious, anichek PM nitakua mdhamini wake kwaajili ya usalama wa pande zote mbili.
Una Mali isiyohamishika , anataka kulipwa shilingi ngapi Kila kitu humo na kula na je yupo tayAri kwenda mikoani ama anataka dar pekeeKwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote.
Umri: 26 yrs
Elimu: Form 4
Makazi: Dar es salaam
Kwa aliye serious, anichek PM nitakua mdhamini wake kwaajili ya usalama wa pande zote mbili.
Ok lkn hii kula kulal juu yangHapana boss, anahitaji kazi ya ofisini pekee.
Anahitaji kazi isiyo Mobile.Una Mali isiyohamishika , anataka kulipwa shilingi ngapi Kila kitu humo na kula na je yupo tayAri kwenda mikoani ama anataka dar pekee
Anahitaji kazi isiyo Mobile.Una Mali isiyohamishika , anataka kulipwa shilingi ngapi Kila kitu humo na kula na je yupo tayAri kwenda mikoani ama anataka dar pekee
kuna muda atahitaji kazi yoyote , Kama anayo masharti hayoAnahitaji kazi isiyo Mobile.
Maswala ya malipo ni makubaliano yenu.
Kuhusu mali ipo bila shida, kubwa zaidi uwe na mkataba tu msainishane
SawaMbezi Kimara
umemsaidia kutatua tatizo chap kwa haraka..Kwanini usimwajiri wewe mkuu....watu hubadilika
Ofisini kwa F4?Hapana boss, anahitaji kazi ya ofisini pekee.