Genge anaweza kuuza au anataka zile za ofisini kwenye komputer na kiyoyoziKwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote.
Umri: 26 yrs
Elimu: Form 4
Makazi: Dar es salaam
Kwa aliye serious, anichek PM nitakua mdhamini wake kwaajili ya usalama wa pande zote mbili.
Sawa kiongozi usining'ate bureBungeni wamejazana Darasa la 7 unashangaa form 4?
Unaishi Nyu yoku wewe eti?
Halafu ukute nyie wote wawili ni waoshaji. Mwenye duka atajuta kuzaliwa.Kwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote.
Umri: 26 yrs
Elimu: Form 4
Makazi: Dar es salaam
Kwa aliye serious, anichek PM nitakua mdhamini wake kwaajili ya usalama wa pande zote mbili.