jamani,wakati nimemuambia kakangu aingie jf ili akuanzie mbio?kuna siku ulikuwa unasema unataka wa kukubadilisha jina utumie lake,nikakuweka kwenye maombi na kumstua kakangu.i take u very serious bana,ngoja nimuambie akung'ang'anie,pm 12 kwa siku.
Kitchen parties are a waste of time. Wanawake wengi hufika pale kujitapa na kutoa ushauri uchwara ambao wao wenyewe hawafanyi. I hate it.Tunashuhudia divorce nyingi, enzi hizi za vicheni parties! Why?

Tunashuhudia divorce nyingi, enzi hizi za vicheni parties! Why?

Hehehe!Haya mlete nimwone labda ntashawishika...ila akiwa king'ang'anizi najipiga ban ya maisha!

hehehe,mambo si ndo hayo!utashawishika tu manake tunakung'angania familia nzima.yy pm 12 kwa siku,mawifi pm 10 kwa siku,mashemeji pm 10 na wazazi pm 5 kwa siku.u will need a pa nadhani,lol!

Hahahahaha mbona ntakoma!Na nikikubali siku nikitaka kumwacha mnakuja wote kunibembeleza...au akitaka yeye alafu mi nikawa mbishi mnakuja wote kunitalakisha!
hehehe,kwetu family comes first and u will be in the front seat always!haijawahi na sidhani kama itakuja kutokea ndoa ya mtu kuvunjika,Mungu atusaidie.sio sie tu tutakuja kukubembeleza,hapo watahusika na cousins na cousins wao (there is no english word for that eh!)

Hahahahaha...cousin wao..nadhani ni hivyo hivyo!Aisee kwahiyo uhakika wa ndoa kusavaivu bila madongo kutoka kwa mawifi na wakwe upo sio?Basi mwambie aje...nipo tayari kumsikiliza sasa!

sie tunawathamini mawifi na mashemeji manake ni ndugu wa hiari.yaani usiwe na wasi,na braza akikuboa unashtaki kwa wifi tunamshughulikia wenyeewe!ila kama unabip kaa mbali manake hapa ukiingia huchomokii!tangaza nafasi ya u-pa kabisaa nadhani pm zitaanza kufurika soon,lol!welcome aboard...
Hahahaha asante mpendwa kwa kunitakia hayo yote!Too bad sitaki mume... ningeweza kubahatika kweli kweli!
Wawili nipeleke wapi bana?Khaaaaaaaaaaaaaaa!
Wawili nipeleke wapi bana?
Hajakosea kama nyie waume zenu mnawadharau na kuwaona wakaida kuna watu wanawatamani.
kuna rafiki yangu pia anafanya kampuni ya kigeni ametamba kumchukua mke wa boss yake pia na kumlewesha maloves upo hapo.
MMME WA HUYU DEMU MALAYA MNO! \
NA NI WANCHI JIRANI
...mpaka sasa najifikiria nimsifu huyu dada, au nimdharau.
Yataka moyo mwanamke kutoa ushuhuda wa namna hiyo mjue?
...tena kwenye kitchen party! duhh,...ndoa hizi!
Ila kuna ambao wanafanya kila kitu mpaka hata wanabeba waume zao migongoni na kwenda kuwaogesha na bado wanalizwa... Haya mambo hayana formula kabisa. Ni kuomba Mungu tu
Hapo sasa! Wangapi tunaelewa maana yake? Wengi tunafuata mkumbo tu ili kufanya sherehe kama sinema!Ndoa zimekuwa mchezo wa kuigiza zaidi.Ni nini maana ya ndoa?
Narudia kusema "UAMINIFU" ni ndiyo nguzo ya ndoa na mapenzi kwa ujumla. Unajua kama hakuna uaminifu hakuna upendo, kukiwa na upendo bila uaminifu hakuna kitu. Nahisi tu huyu kiumbe akiwa siyo mwaminifu hata ungekuwa unafanya malovee kuliko makungwi atatoka nje kwenye kutafuta wale wasiojua.
Mapenzi ni Uamiinifu siyo vinginevyo. Kweli kuna kipindi wanawake tunajisahau sana, imagine mume anarudi nyumbani mapema akijua mke upo walau umpe chai ya jioni, wewe umo kwenye mihagaiko ya umbeya na biashara zisizo na uelekeo. Sasa yule HG yeye yupo kufanya kila kitu, ukiomba chai iko tayari, maji ya kuoga yako tayari, hivi kweli wewe mwanamke ingetokea house boy akafanya mambo kuliko mumeo si ungeelekeza majeshi huko.
Wadada badilika sana tuwape heshima waume zetu, hata kama si wazuri kama tunavyofikiri.
Ndiyo maoni yangu leo. Lets cross fingers and pray tuwe fair yale tusiyoweza kuvumilia tukifanyiwa basi tusifanye instead tufanye yale yanakubalika kiroho.
kWELI KABISA. Watu wamekuwa wanalalamika kuwa HGs wananyanyaswa lakini hata mara moja hutasikia wakiingia undani kujua kwanini unyanyasaji huo upo! Wanawake wengine wananyanyasa kwa vile wameshaonja adha ya kuchangia penzi! Kitchen party nazo ni utamaduni wa kijinga sana unaojengeka kila kukicha na sasa unapanuka hadi kufikia kutoa mafundisho potofu na tumekaa tu kuuendekeza. Wanawake wengi siku hizi hawaendi kwenye kitchen party zinazojulikana kujaa upuuzi.Huenda zile zenye waongoza mada wenye kutumia maandiko ya dini zaidi maana hayo hujenga kuliko kubomoa.Kitchen parties are a waste of time. Wanawake wengi hufika pale kujitapa na kutoa ushauri uchwara ambao wao wenyewe hawafanyi. I hate it.
Masikini bibi harusi asiyeelewa anafikiri thats what she is supposed to do. Ila kwa sasa wazazi wengi wanawakubalia watoto wao maana imekuwa source ya kupata vyombo na si vinginevyo.
Kitchen party nyingi wizi mtupu. Sasa ushuhuda kama huo unafikiri unaleta mawazo gani kwa binti? Unadhani mtu kama huyu atamthamini binti wa kazi? Si itakuwa kila binti wa kazi ni mwizi kwa mumewe? Manyanyaso hayataisha. Au kama yeye ni mfanyakazi wa ofisi sna anampenda bosi wake atashindwa nini kumtaka kama naye ndoa yake huku inawaka moto.
NDOA HAZINA FORMULA, PERIOD!
Ndio mume wangu!Unazuga eeeeh???

Ndio mume wangu!