Ajitapa kutengua ndoa ya bosi wake


NILITAKA KUKUPA THANKS KWA MSG NZURI SANA KWANGU ,ILA NIMEKOSA KITUFE HICHO.
UPO SAHIHI huyo mke mtarajiwa hatakuwa na imani na ms hse gal wake ksb atakumbuka ushuhuda uliotolea siku yake ya kitchen party.

Huyo aliyekuwa anatoa huo ushuhuda kama lengo lilikuwa kumwelewesha Bi harusi mtarajiwa basi angetumia mfano mwingine lakin siyo mfano huo wenye lengo la kukutetea maovu yake, yeye anaona fahari kumuchukua mume wa boss kwa kisingizio cha uchapa kazi, ina maana hakuna njia nyingine yoyote ya kumfundisha huyu mke wa boss wake mpaka amchukulie mumewe???
MWANAUME HAELEWEKI ANAPENDA NINI HASA kwa mwanamke, WANAPENDA VINGI SANA ZAIDI YA HUO UCHAPA KAZI,, UKIPATA MUME MWAMINIFU,ANAYEKUPENDA,KUHESHIMU,KUSIKILIZA,KUWA PAMOJA NAWE KTK HALI YOYOTE MWAMBIE MUNGU ASANTE,
LAKIN USIJITAPE ETI ooh MIMI NINA UJUZI WA KUISHI VIZURI NA MUME, thubutu teena wewe siku akikutenda huyo mume /mpenzi wako utalia kilio cha mbwa mwizi...

PIA SITETEI WANAWAKE KUWAACHIA WASAIDIZI WA NDANI KAZI ZOOOTE ZA NYUMBANI PAMOJA NA KUTUNZA MUME/WATOTO/NA NYUMBA KWA UJUMLA. HUYO NI MSAIDIZI SO ANATAKIWA AFANYE KAZI PALE UNAPOONA UMEKOSA KABISA NAFASI YA WEWE KUZIFANYA, NA NADHANI PIA NDIYO TAFSIRI SAHIHI YA NENO MSAIDIZI.
kuna watu wanaishi ndoani mpaka wanazikana na mke mvivu kupita kiasi.

MUME NI KAMA MTOTO SO NI KAZI NGUMU SANA KUISHI NAYE KAMA ILIVYO KAZI NGUMU KULEA MTOTO/WATOTO,
JAPO NI RAHA SANA TENA KUBWA ISIYOELEZEKA KUWA NA MUME/MPENZI NA HASA KAMA MNAELEWANA.
 
haousegirl toka kibaha naunga mkono hoja yako asilimia 100%....
 
mmh! huyo binti hana utu, wala aibu
 
<p>
Hehehe wifi ngoja nije pembeni kukueleza!
</p>
<p>&nbsp;</p>
wifi taratibu.manake tutafungua file la maelezo yako.manake hadi dingi kaiona hii,na mie nshaa-advertise huku yarrabi tobah!tutaongeza kasi ya pm sasa ili uwe busy
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
wifi taratibu.manake tutafungua file la maelezo yako.manake hadi dingi kaiona hii,na mie nshaa-advertise huku yarrabi tobah!tutaongeza kasi ya pm sasa ili uwe busy

Wifi hii ishu inaelezeka ..inaeleweka na inakubalika we ngoja nijipange tu!Hata baba mkwe ataendelea kunikubali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…