nnunu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 654
- 230
Kitchen parties are a waste of time. Wanawake wengi hufika pale kujitapa na kutoa ushauri uchwara ambao wao wenyewe hawafanyi. I hate it.
Masikini bibi harusi asiyeelewa anafikiri thats what she is supposed to do. Ila kwa sasa wazazi wengi wanawakubalia watoto wao maana imekuwa source ya kupata vyombo na si vinginevyo.
Kitchen party nyingi wizi mtupu. Sasa ushuhuda kama huo unafikiri unaleta mawazo gani kwa binti? Unadhani mtu kama huyu atamthamini binti wa kazi? Si itakuwa kila binti wa kazi ni mwizi kwa mumewe? Manyanyaso hayataisha. Au kama yeye ni mfanyakazi wa ofisi sna anampenda bosi wake atashindwa nini kumtaka kama naye ndoa yake huku inawaka moto.
NDOA HAZINA FORMULA, PERIOD!
NILITAKA KUKUPA THANKS KWA MSG NZURI SANA KWANGU ,ILA NIMEKOSA KITUFE HICHO.
UPO SAHIHI huyo mke mtarajiwa hatakuwa na imani na ms hse gal wake ksb atakumbuka ushuhuda uliotolea siku yake ya kitchen party.
Huyo aliyekuwa anatoa huo ushuhuda kama lengo lilikuwa kumwelewesha Bi harusi mtarajiwa basi angetumia mfano mwingine lakin siyo mfano huo wenye lengo la kukutetea maovu yake, yeye anaona fahari kumuchukua mume wa boss kwa kisingizio cha uchapa kazi, ina maana hakuna njia nyingine yoyote ya kumfundisha huyu mke wa boss wake mpaka amchukulie mumewe???
MWANAUME HAELEWEKI ANAPENDA NINI HASA kwa mwanamke, WANAPENDA VINGI SANA ZAIDI YA HUO UCHAPA KAZI,, UKIPATA MUME MWAMINIFU,ANAYEKUPENDA,KUHESHIMU,KUSIKILIZA,KUWA PAMOJA NAWE KTK HALI YOYOTE MWAMBIE MUNGU ASANTE,
LAKIN USIJITAPE ETI ooh MIMI NINA UJUZI WA KUISHI VIZURI NA MUME, thubutu teena wewe siku akikutenda huyo mume /mpenzi wako utalia kilio cha mbwa mwizi...
PIA SITETEI WANAWAKE KUWAACHIA WASAIDIZI WA NDANI KAZI ZOOOTE ZA NYUMBANI PAMOJA NA KUTUNZA MUME/WATOTO/NA NYUMBA KWA UJUMLA. HUYO NI MSAIDIZI SO ANATAKIWA AFANYE KAZI PALE UNAPOONA UMEKOSA KABISA NAFASI YA WEWE KUZIFANYA, NA NADHANI PIA NDIYO TAFSIRI SAHIHI YA NENO MSAIDIZI.
kuna watu wanaishi ndoani mpaka wanazikana na mke mvivu kupita kiasi.
MUME NI KAMA MTOTO SO NI KAZI NGUMU SANA KUISHI NAYE KAMA ILIVYO KAZI NGUMU KULEA MTOTO/WATOTO,
JAPO NI RAHA SANA TENA KUBWA ISIYOELEZEKA KUWA NA MUME/MPENZI NA HASA KAMA MNAELEWANA.