Ajiua baada ya kufumaniwa akichepuka

Ajiua baada ya kufumaniwa akichepuka

Asingejiua, siku hizi tumeacha kutoa adhabu kali kwa mafumanizi. Dawa ni kuwa na wanawake wengi makandokando ili mke wa ndani akizingua wa nje anakutolea stress, halafu unampa uhuru wa ndani afanye uchepukaji wake kwa uhuru na akitaka ahamie kabisa kwa chepuko lake analolipenda isiwe taabu. Hatutaki kuua kwa wivu wa kimapenzi
 
Umefunga Uzi naomba watu waishie hapa
 
Utadakwa TU
Mimi sio Samson Babu nakaza mpaka niingie pangoni kule nikaogelee madini kwenye mavumbi mnanifukia hapa kumbe upande wa pili pembeni kuna bonge la Dini la dhahabu mnafukia mnaondoka mnaacha naogelea kwenye dimbwi la dhahabu
 
Sasa uchunguzi wa nini wakati mpk aina ya sumu mmeisema...nyie mzikeni awahi wenzie huko waliojitanguliza...
 
Wamethibitishaje kajiua? Isije ikawa kuna mchezo umechezwa.
 
Kama mwanamke hajawahi kukufumania hata mara moja, ikatokea yeye akawa wa kwanza kufumaniwa na ukamdaka ,basi ili awe salama mtandike walau makofi mawili. Ukimuacha kiupole haki atajiua
 
Back
Top Bottom