Kijakazi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2007 Posts 7,093 Reaction score 10,469 May 21, 2022 #1 Waafrika Kusini wameanza kujitambua, Operation Dudula inawataka wageni wote walioko illegally waondoke. AK wameanza kujitambua! Bango linasomeka“ wageni ni mzigo kwenye nchi yetu, wakwende“ !
Waafrika Kusini wameanza kujitambua, Operation Dudula inawataka wageni wote walioko illegally waondoke. AK wameanza kujitambua! Bango linasomeka“ wageni ni mzigo kwenye nchi yetu, wakwende“ !
L Lions Share Member Joined Jul 14, 2012 Posts 92 Reaction score 208 May 21, 2022 #2 Hao wageni Makabulu ni miongoni mwao? Au wanawalenga Wa Afrika wenzao?Km ni only Africans Basi SA hawajitmbui wapimwe mkojo
Hao wageni Makabulu ni miongoni mwao? Au wanawalenga Wa Afrika wenzao?Km ni only Africans Basi SA hawajitmbui wapimwe mkojo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 22, 2022 #3 Kila siku wana mapya...
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 May 22, 2022 #4 Halafu utakuta wageni wenyewe wanaotakiwa kuondoka ni Waafrika wa hapahapa.
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 May 22, 2022 #5 kwa nini hao wageni wasipelekwe Rwanda ?