Napenda sana hizi mada za kibashite bashite!!!
"kuanzia leo kila mwenye mapepo hata kama ni 2000 ukikemea ya kakuuliza twende wapi basi yambie nenda mkaingie kwa yule kiumbe".
"Huyu bwana ni bomu lisilokuwa na muelekeo linaweza kutuwa popote, (unguided missile)"
"Ni wivu tu, kwakuwa aliona namiliki Helicopter basi akawa ananingalia kwa jicho flani flani hivi, na sasa tunataka kuleta train"