Akafanya mtihani akapata zero,akazungusha yaani

Akafanya mtihani akapata zero,akazungusha yaani

Collabo y Gwajima na Mange itakuwa hatariiiiiii, tena polisi na TCRA watulie wausome mchezo , weee mbona viongozi wangekimbizwa Milembe kama si India
Hii colabo haijawai tokea!!! Mange jana akatoa kipist kimoja tu cha Mama Salma alafu akarudisha majeshi kwa Bashite. Mdada akikuamulia kaamua [emoji23][emoji23]
 
Napenda sana hizi mada za kibashite bashite!!!
"kuanzia leo kila mwenye mapepo hata kama ni 2000 ukikemea ya kakuuliza twende wapi basi yambie nenda mkaingie kwa yule kiumbe".
"Huyu bwana ni bomu lisilokuwa na muelekeo linaweza kutuwa popote, (unguided missile)"
"Ni wivu tu, kwakuwa aliona namiliki Helicopter basi akawa ananingalia kwa jicho flani flani hivi, na sasa tunataka kuleta train"
 
Back
Top Bottom