Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kijana mmoja eneo la Gerezani karibu na kituo cha mwendokasi cha gerezani, amekamatwa na Askari Polisi sababu alikuwa anarecord tukio la wanaobomoa vibanda vya machinga asubuhi hii.
Asubuhi hii watu takriban 20 walikuwa wanapita Gerezani huku wakiwafukuza wafanyabiashara wadogo na kubomoa maeneo mengine huku wakiwa na virungu mikononi mwao.
Inadaiwa matukio ya uvunjwaji hata waandishi wa habari wamepigwa mkwara kuripoti mubashara zoezi zima na ndiyo maana hata la Mbagala jana halijaonekana kwenye vyombo vya habari.